Najuta kuhamia kwangu Kerege

Najuta kuhamia kwangu Kerege

Mkuu usiuze. Tafuta walinzi. Wajengee kibanda hata cha mabanzi na choo..wamasai wako kibao. Vumilia mji wapanuka. Wizi utaisha huko utarudi kwako.
 
Weka Banda la Kuku ufuge ukawauzie nyama na Mayai watu wa Mjini. Utapata Fedha ya Madura huku unaishi kwako
 
Habari za Kerege? Kitimoto Bei gani huko? Nakuja na kreti kadhaa za bia tuenjoy weekend. Dar miyayusho
 
kerege iko -bagamoyo huko
😄😄😄 sasa aliendaje kujenga Bagamoyo wakati anafanya kazi dar katikati ya mji ,akaacha madale, goba, mbezi mwisho , kinyerezi,kimara,makongo,Changanyikeni n.k
 
😄😄😄 sasa aliendaje kujenga Bagamoyo wakati anafanya kazi dar katikati ya mji ,akaacha madale, goba, mbezi mwisho , kinyerezi,kimara,makongo,Changanyikeni n.k
maeneo hayo viwanja bei ghali
 
hv wanatoa china au kigoma?. kuna mtu ashawahi nambia kwamba vitengr vinatoka kgoma,kgoma wanatoa burundi na congo!! sjui n sahh?
Ata wacongo wanatoa china ndo wanaingiza kigoma, supplier ni china mpaka vya nigeria wanatoa china asilimia kubwa
 
Back
Top Bottom