Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hela za deals hazinaga kuwaza Mara mbili?Jumba lote hilo muzee unaliweka uswazi?
hv ni wapi naweza vitenge vizuri original kwa bei ya chini?Kwanini usianzishe biashara hata ya vitenge?
Kitumbini au kariakoohv ni wapi naweza vitenge vizuri original kwa bei ya chini?
.Kweli kila mtu anawaza ajuavyo yeye...yaan nipewe laki 2 kwa mwezi??hapana...!ila kuna biashara kichaa sana...labda ujenge nyumba ukopee mkopo mzuri benk...mwee huyo laki 2 mm naipata kwa siku 1!nah!
Ni wapi huko? Au BagamoyoKerege Amani
pale bei ghali mkuu,,,,hv wao huwa wanatoa wapi vile vitenge?Kitumbini au kariakoo
kerege iko -bagamoyo hukoNi wapi huko? Au Bagamoyo
China,pale bei ghali mkuu,,,,hv wao huwa wanatoa wapi vile vitenge?
😄😄😄 sasa aliendaje kujenga Bagamoyo wakati anafanya kazi dar katikati ya mji ,akaacha madale, goba, mbezi mwisho , kinyerezi,kimara,makongo,Changanyikeni n.kkerege iko -bagamoyo huko
Yeye nae alienda kujenga mbali mnoKwahiyo tusijenge kisa mafuta ya gari yanatumika sana? Huu ni ushauri wa kipuuzi
maeneo hayo viwanja bei ghali😄😄😄 sasa aliendaje kujenga Bagamoyo wakati anafanya kazi dar katikati ya mji ,akaacha madale, goba, mbezi mwisho , kinyerezi,kimara,makongo,Changanyikeni n.k
hv wanatoa china au kigoma?. kuna mtu ashawahi nambia kwamba vitengr vinatoka kgoma,kgoma wanatoa burundi na congo!! sjui n sahh?China,
Sio kweli enzi hizo mil 6-10 angepata kiwanja kikubwamaeneo hayo viwanja bei ghali
Ata wacongo wanatoa china ndo wanaingiza kigoma, supplier ni china mpaka vya nigeria wanatoa china asilimia kubwahv wanatoa china au kigoma?. kuna mtu ashawahi nambia kwamba vitengr vinatoka kgoma,kgoma wanatoa burundi na congo!! sjui n sahh?