Najuta kuingalia video ya Joshua

Hamas sio magaidi,Hamas ni freedom fighters wanaopinga Zionist occupation kwenye Ardhi yao na kufungiwa mipaka Gaza,tatizo la watu,mzungu akimbrand mtu gaidi basi watu wote wanaunga tela tu.
 
Kwani wewe nan? Nan kafurahi kufa kwa Mtanzania ?

Una hakika kauliwa na Hamas ?
Wafuasi wa allah wamefurahi sana tena wamesema allah akbar
Huku wakimmiminia risasi kafiri.
 
Na kama wote tutafuata dini ya kweli kwa ukweli ya Yesu Mpende Jirani yako kama nafsi yako na umpende Mungu kwa moyo na nafsi yako yote.
Si lazma mtu awe na dini ili ajue kutofautisha kati ya kilicho sahihi na kisicho sahihi kuwatendea watu wengine.
Though ni kweli falsafa za kristu zinakufanya uwaelewe watu kuliko kuwahukumu lakini pia kutokutoa reaction ya ubaya pale unapofanyiwa ubaya
 
Nimekuelewa sana tuu ila hii vita ni kati wapalestina na waisrael sasa why hamas wanawaua hadi waafrika wasiohusika? Au kisa wapo israel?
Hiyo clip bado haijawa verified na mamlaka yeyote ile,kuna watu wala hawamjui huyo Joshua kwa sura ila wanaunga tela tu,

Si ajabu hata wewe humjui kwa sura huyo Joshua bali na wewe umepitiwa tu na huu upepo ukaunga tela,subiri mpaka hiyo clip iwe verified na mamlaka husika,nowadays kila kitu kinaweza kua fabricated kwa lengo maalum,

Nje ya mada,unajua kua Israel imeua mpaka wasiokua raia wa Palestina kwenye hii vita?
 
Wewe sii ni mshabiki wa vita hayo ndio matokeo ya vita
 
Kuna jambo silielewi hapa, watu wanalaani na bado wanadai kisasi. Hii imekaaje Wakuu?.

Siungi mkono mauaji yoyote ila tuache unafiki na hisia tutumie maarifa sasa.

Watu wengi wanauliwa kwa vita, kutaka kisasi ni sawa na kutaka vita wafe wakwao. Huu ni ujinga.
 

View: https://t.me/beholdisraelchannel/24765

View: https://t.me/beholdisraelchannel/24766
 

Raia wasiokua na hatia kila siku wanauawa hapa Duniani,unapoona mauaji kama hayo unatakiwa uyakemee na sio kuyafurahia yanapotokea kwa wenzako ila siku yakitokea kwako ndio unaona uchungu,ndio maana watu hupinga mauaji ya watu wasiokua na hatia hasa Wanawake na Watoto coz usipopinga na kukomesha mauaji ya aina hii,ipo siku na wewe yatakuja kukugusa.
 
TUMIA AKILI

Sio kila mada/topic/jambo unaloliona kwa macho yako ndivyo lilivyo, kiuhalisia linaweza kuwa tofauti kabisa.

Kuna matukio unapoyaona hutakiwi kutanguliza hisia kuya judge, bali akili tu, unapotumia hisia&mihemko unaharibu sehemu ya akili kulitafakali hilo jambo.

The same kwa Tukio hili waTanzania tulitakiwa kutumia akili na sio hisia ili tujue ukweli na undani wa hilo tukio ka kifo.

Dunia ya leo mambo hayatokei kwa bahati mbaya, kuna matukio yanapikwa then yanaachiliwa wazi na kila mtu atatafsiri matukio hayo kulingana na uwezo wa akili yake kuchanganua mambo.

Kuna watakao tumia hisia ambao kwa ulimwengu wa sasa hawa ndio main Target ya mpika matukio maana hawa kwa population ni more than 90% ya watu na hawa ndio wale wasio chambua mambo wala kuyatafakali zaidi ya kuendeshwa na mihemko na hisia kali zinazozalishwa baada ya kuliona tukio ambalo mpikaji alipenda liwe hivyo na lilete matokeo gan kwa jamii baada ya kuona hilo tukio.

Kuna asilimia ndogo sana ya watu ambao hayo matukio yanayoibuka dunian hata yapikwe vipi hayawaendeshi kutumia hisia&mihemko maana wanajua michezo yote ya wajanja.

Anaecontrol media ndiye anaecontrol mienendo mizima ya matukio iwe vipi, na kuteka attention ya watu kiasi gani wakubaliane na ujumbe wa tukio.

Back to topic, kwa anaetumia akili tu na sio mwenye mihemko, ukiitizama hiyo video inaleta maswali mengi na kuibua viulizo kuhusu undani wa kinacholazimishwa kuaminisha watu waamini ndivyo au sio.

[emoji117] labda kinyonga aliponzwa na rangi yake ndipo balaa likampata(kijana huyo huenda hakuwa na tatizo lolote na hao wanaosemekana ni Hamas lkn kwakuwa tu ni mweusi, kama ijulikanavyo watu weusi hawapendwi dunian, hivyo rangi yakeikamponza.

[emoji117] labda nguo yake ya ndani aliyovaa(boksa) yenye rangi ya kijeshi ilimponza kwa kuwafanya hao wanaosemekana ni Hamas kumfyeka kwa kuamini ni miongon mwa mwanajeshi wa kiisrael.

[emoji117]labda nae alikuwa sehemu ya jeshi la siri/mpelelezi kutoka israel ndiomaana kifo kikampata, haimake sense mtu wa kawaida tu kumiliki jezi/vazi la kijeshi.

[emoji117]labda hilo ni tukio la kupikwa na waisrael wenyewe kwa kutafta uungwaji mkono na mataifa yasiyowasapoti kwa kujenga chuki dhidi ya palestina na wanamgambo wa Hamasi, kwa kuua baadhi ya raia wa nchi zisizo isapoti israel na kusingizia ni hamasi wamefanya matukio hayo.

[emoji117]labda ni kweli ni Hamas wametenda hilo tukio lakin bado kunaibuka maswali, haiwezekan raia wa kawaida asiye na siraha wala mjeshi wa kiisrael kuuliwa kinyama vile itakuwa kuna viashiria fulani walivyoviona kutoka kwa huyo raia na kuhisi hatari au mamluki wa kiisrael na hapa tunarudi kule kule kwenye viashiria vya kipelelezi/mamluki kupitia vazi la jezi ya kijeshi au chuki tu ya kibaguzi wa rangi.

Tukio hilo litizamwe kiumakini kwa akili timamu na sio hisia ili tusibase kwenye mihemko na kujikuta tunasapoti ujinga ambao umepikwa na mpikaji katimiza ajenda zake za kueneza chuki.

Hii ni kwaajili ya wenye akili tu na sio vilaza
 
Hawa ndio kila siku humu walikua wanafurahia na kuwashabikia Wayahudi kuua wapalestina wasio na hatia,au Wapalestina wasio na hatia kuuliwa ni sawa? Kama kupinga kuuawa raia wasio na hatia tupinge kwa haki sawa kwa wote na sio kwa ubaguzi.
Hakika hata Mimi sifurahii kuuwawa kwa waisrail wala wapalestina wanazingua Sana kuleta udini katika vifo vya watu
 
Mkuu Mimi Nina video ambay ipo 45 min

Huyo alipigwa risasi almost nane kifuani

Na kwa uchungu wenye ganzi ya maumivu za risasi alipapatika kwa kuinua mikono walau kwa sekunde mbili ila alishindwa mana nguvu na haraka za umauti zilimuawai

Kuhusu kuwa Yule ni mhusika hapo ndio kuna kipengere maana

Ukiangalia vizuri unaona kama watu tofauti katika tukio tofauti inaumiza mno

All in all serikali hapa umetupiga na kitu kizito kichwani
 
Chukia wote, nachukia dini zote, nawaza kwanin wazee wetu walishindwa kutetea mira na desturi zetu hadi tumejikuta mikononi mwa hawa wauaji

Dini zao zimefeli hata kutufanya tuwe na viongozi wa damu walio na uchungu na vizazi vya dam zao
 
Kwa comments za watu online nimeogopa kuiangalia, halafu ukisoma comments za wafuasi wa dini ya Mwarabu wanavyochekelea, yaani ni mazombi yaliyouza nafsi zao kwa Mwarabu na shetani, hayana uzalendo.
 
Kwa comments za watu online nimeogopa kuiangalia, halafu ukisoma comments za wafuasi wa dini ya Mwarabu wanavyochekelea, yaani ni mazombi yaliyouza nafsi zao kwa Mwarabu na shetani, hayana uzalendo.
Usiangalie, ni unyama sana...
 
Mwarabu wa Namtumbo malaya wewe
 
Kama magaidi Hamas wanapigana kwa kujificha nyuma ya raia unategemea nini mkuu? Si ndio hao wamechimba mahandaki kwenye hospital na shule?

Si ndio magaidi huwatumia raia kama ngao?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…