Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 26,021
- 79,710
Najaribu kuwa neutral bro. Sipendi ku conclude mambo kirahisi hivyo.Dogo mkaldayo wewe ni mbishi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Najaribu kuwa neutral bro. Sipendi ku conclude mambo kirahisi hivyo.Dogo mkaldayo wewe ni mbishi
Hamas sio magaidi,Hamas ni freedom fighters wanaopinga Zionist occupation kwenye Ardhi yao na kufungiwa mipaka Gaza,tatizo la watu,mzungu akimbrand mtu gaidi basi watu wote wanaunga tela tu.Swali langu moja tu , hivi hii vita ni ya Israel dhidi ya Hamas ambacho ni kikundi cha magaidi kama wasemavyo wao.. au ni dhidi nchi ya Palestina? Kama ni Dhidi ya Hamas kwanini Israel isipigane na Hamas bali inalipua mpaka majengo ya shule na hospital ambazo kuna mamia ya wapalestina wanakufa?
Unafikiri nao hawaumii kwa hayo ndugu zao wanayopitia?? Moyo unauma kumpoteza Mtz mwenzetu ila hii vita sijawahi elewa Israel anapigana na nani hapo kati ya taifa au kundi la magaidi
Nimekuelewa sana tuu ila hii vita ni kati wapalestina na waisrael sasa why hamas wanawaua hadi waafrika wasiohusika? Au kisa wapo israel?Naongelea uchungu wa kuuawa watu wasio na hatia,
Soma tena nilichokiandika.
Duuh waisrael tena kumbe aliekufa ni mwisrael au unamaana ganiNdio mjuwe sasa Israel ndio inajuwa namna Bora ya kudeal na Waarabu na kuangamiza mazalia yake.
Wafuasi wa allah wamefurahi sana tena wamesema allah akbarKwani wewe nan? Nan kafurahi kufa kwa Mtanzania ?
Una hakika kauliwa na Hamas ?
Si lazma mtu awe na dini ili ajue kutofautisha kati ya kilicho sahihi na kisicho sahihi kuwatendea watu wengine.Na kama wote tutafuata dini ya kweli kwa ukweli ya Yesu Mpende Jirani yako kama nafsi yako na umpende Mungu kwa moyo na nafsi yako yote.
Hiyo clip bado haijawa verified na mamlaka yeyote ile,kuna watu wala hawamjui huyo Joshua kwa sura ila wanaunga tela tu,Nimekuelewa sana tuu ila hii vita ni kati wapalestina na waisrael sasa why hamas wanawaua hadi waafrika wasiohusika? Au kisa wapo israel?
Wewe sii ni mshabiki wa vita hayo ndio matokeo ya vitaMzuka wanajamvi.
Najuta kuingalia hii video ya kaka yetu Joshua Mollel aliyetekwa na kuuwawa kikatili bila huruma huku hawa manyani wakishangilia na kumtukuza mungu wao.
Imenifanya niwe na trauma na chuki dhidi ya hawa binadamu.
Sina uwezo tu ila nawaombea laana na kamwe hawatakuwa huru.
Kwaanzia leo Sitachanganyikana na mwarabu yoyote wala kusalimiana hata akiwa mkristo.
Sitanunua bidhaa yoyote inayozalishwa na mwarabu yoyote.
Sitaenda tena kwenye mabucha yao ya halal na migahawa yao ya mipizza kebab.
Nimejisikia vibaya sana. Furaha yangu sasa hivi Palestina kamwe isiwe huru na haitakuwa huru.
R.I.P Joshua na Clemence wakulima namba moja. Msijali mtalipiziwa kisasi tu.
Damu ya wakulima namba moja Joshua na Clemence haitapotea hivihivi nawahakikishia.
Hizi hasira zingeelekezwa kwa wale wanaoiba mali za umma na kusababisha vifo vya wajawazito na vichanga basi wizi japo ungepungua.Wewe sii ni mshabiki wa vita hayo ndio matokeo ya vita
Mkaldayo, taarifa zipo kuwa dogo amekufa. Sasa maswali yangu kuhusu credibility ya source ya hiyo video umeshindwa kuyajibu.
Je ndio yeye kweli huyo Joshua kwenye video?
Je hao wanaooneka kwenye video ni kweli ni HAMAS?
Tupe chanzo kilicho verify hiyo video. Ubalozi wa TZ huko Uyunani wamethibitisha hiyo video?
Sirikali ya wayunani wamethibithisha hiyo video?
Hamkawii kesho kuanza kusema Joshua yupo salama na ile video ilukuwa ya raia wa Ghana akiteswa na kuuwawa na IDF.
Au kweli alikuwa Joshua ila pale chini alianguka tu ila hakuwa amekufa. Maana video imekuwa sensored kwa kinjiwa haionekani mahali mtu akiuwawa kwa risasi au panga. Inaonyesha tu mtu akivutwa na mwisho kalala chini.
Haijaonyesha kama yupo decapitated. Bali yupo tu kalala chini.
Nani anauhakika alielala chini amekufa?
Nani ana uhakika alielala chini ni Joshua?
Hakika hakuna mwenye jibu.
Mimi sio kwamba siumizwi na mtanzania kuuwawa kama inavyosemekana ila I don't easily jump into bandwagons bro.
I have my brains and I put them into use.
Hakika hata Mimi sifurahii kuuwawa kwa waisrail wala wapalestina wanazingua Sana kuleta udini katika vifo vya watuHawa ndio kila siku humu walikua wanafurahia na kuwashabikia Wayahudi kuua wapalestina wasio na hatia,au Wapalestina wasio na hatia kuuliwa ni sawa? Kama kupinga kuuawa raia wasio na hatia tupinge kwa haki sawa kwa wote na sio kwa ubaguzi.
Mkuu Mimi Nina video ambay ipo 45 minMkaldayo, taarifa zipo kuwa dogo amekufa. Sasa maswali yangu kuhusu credibility ya source ya hiyo video umeshindwa kuyajibu.
Je ndio yeye kweli huyo Joshua kwenye video?
Je hao wanaooneka kwenye video ni kweli ni HAMAS?
Tupe chanzo kilicho verify hiyo video. Ubalozi wa TZ huko Uyunani wamethibitisha hiyo video?
Sirikali ya wayunani wamethibithisha hiyo video?
Hamkawii kesho kuanza kusema Joshua yupo salama na ile video ilukuwa ya raia wa Ghana akiteswa na kuuwawa na IDF.
Au kweli alikuwa Joshua ila pale chini alianguka tu ila hakuwa amekufa. Maana video imekuwa sensored kwa kinjiwa haionekani mahali mtu akiuwawa kwa risasi au panga. Inaonyesha tu mtu akivutwa na mwisho kalala chini.
Haijaonyesha kama yupo decapitated. Bali yupo tu kalala chini.
Nani anauhakika alielala chini amekufa?
Nani ana uhakika alielala chini ni Joshua?
Hakika hakuna mwenye jibu.
Mimi sio kwamba siumizwi na mtanzania kuuwawa kama inavyosemekana ila I don't easily jump into bandwagons bro.
I have my brains and I put them into use.
Chukia wote, nachukia dini zote, nawaza kwanin wazee wetu walishindwa kutetea mira na desturi zetu hadi tumejikuta mikononi mwa hawa wauajiMzuka wanajamvi.
Najuta kuingalia hii video ya kaka yetu Joshua Mollel aliyetekwa na kuuwawa kikatili bila huruma huku hawa manyani wakishangilia na kumtukuza mungu wao.
Imenifanya niwe na trauma na chuki dhidi ya hawa binadamu.
Sina uwezo tu ila nawaombea laana na kamwe hawatakuwa huru.
Kwaanzia leo Sitachanganyikana na mwarabu yoyote wala kusalimiana hata akiwa mkristo.
Sitanunua bidhaa yoyote inayozalishwa na mwarabu yoyote.
Sitaenda tena kwenye mabucha yao ya halal na migahawa yao ya mipizza kebab.
Nimejisikia vibaya sana. Furaha yangu sasa hivi Palestina kamwe isiwe huru na haitakuwa huru.
R.I.P Joshua na Clemence wakulima namba moja. Msijali mtalipiziwa kisasi tu.
Damu ya wakulima namba moja Joshua na Clemence haitapotea hivihivi nawahakikishia.
Usiangalie, ni unyama sana...Kwa comments za watu online nimeogopa kuiangalia, halafu ukisoma comments za wafuasi wa dini ya Mwarabu wanavyochekelea, yaani ni mazombi yaliyouza nafsi zao kwa Mwarabu na shetani, hayana uzalendo.
Mwarabu wa Namtumbo malaya weweSi upo Denmark wewe mbona mawazoyako kama upo Nyarugusu...hivi hujawahi kuona wasouth Africa wakifanyia unyama waafrika wenzao??? Au chuki zako ni kwa hao wapambania uhuru wao...Kama si unyama na ukandamizaji wanaoufanya Israel hayo yangetokea?? Hapo ulipo kwa wenye akili mbona kilasiku wanaandamana on behalf of Palestina?? Huna uwezo wa kukwepa madukayao ya halali labda uhame na urudi Nyarugusu.
Hiyo clip bado haijawa verified na mamlaka yeyote ile,kuna watu wala hawamjui huyo Joshua kwa sura ila wanaunga tela tu,
Si ajabu hata wewe humjui kwa sura huyo Joshua bali na wewe umepitiwa tu na huu upepo ukaunga tela,subiri mpaka hiyo clip iwe verified na mamlaka husika,nowadays kila kitu kinaweza kua fabricated kwa lengo maalum,
Nje ya mada,unajua kua Israel imeua mpaka wasiokua raia wa Palestina kwenye hii vita?