Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 27,031
- 49,928
Wapalestina washamba sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tatizo udini, ukanda, utaifa na ukabila ukiingia ndio vifo hupewa ile sensitivity kwa sababu zinakuwa zinahalalisha hoja za watu binafsi. Wala sio kuhusu mtu aliyefariki ila hicho kifo kinaongeza chachu kiasi gani kwenye propaganda aao. It's sad mkuuAtleast wewe umeongea point,hapo South kila mara wabongo wanakula chuma kwa kubaguliwa tena bila kua na vita,weusi kila mara wanachula chuma ndani ya US.
Hawa ndio kila siku humu walikua wanafurahia na kuwashabikia Wayahudi kuua wapalestina wasio na hatia,au Wapalestina wasio na hatia kuuliwa ni sawa? Kama kupinga kuuawa raia wasio na hatia tupinge kwa haki sawa kwa wote na sio kwa ubaguzi.ameuliwa na HAMAS makasiriko unaleta kwa wapalestina wote
Foolish
Mzee hivi nikwel yule ni joshua ile video au ni black tu lakn sio yeye?Mimi i took it easy, lkn it all destroyed my day mbaya zaidi namjua huyu dogo na familia yake na makazi yao..... najua struggling alizopitia Mwalimu Mollel kwa huyu dogo hd kumaliza chuo....so paining aisee
Huyo anayelaumu na kujifanya kaumia,kesho akikuta mwizi anapigwa na yeye ataunga na kuanza kumpiga mwizi mpaka kumuua bila hata kuuliza kaiba nini au nani aliyeibiwa.Tatizo udini, ukanda, utaifa na ukabila ukiingia ndio vifo hupewa ile sensitivity kwa sababu zinakuwa zinahalalisha hoja za watu binafsi. Wala sio kuhusu mtu aliyefariki ila hicho kifo kinaongeza chachu kiasi gani kwenye propaganda aao. It's sad mkuu
Wewe ndiye bure kabisaKwani wewe nan? Nan kafurahi kufa kwa Mtanzania ?
Una hakika kauliwa na Hamas ?
Mkaldayo, taarifa zipo kuwa dogo amekufa. Sasa maswali yangu kuhusu credibility ya source ya hiyo video umeshindwa kuyajibu.
Ndio reality, tuishi nayo mkuuHuyo anayelaumu na kujifanya kaumia,kesho akikuta mwizi anapigwa na yeye ataunga na kuanza kumpiga mwizi mpaka kumuua bila hata kuuliza kaiba nini au nani aliyeibiwa.
So joshua ni muisrael?Mkuu hata wapalestina hua wanaumia hivyo hivyo watoto wao wanavyouliwa na Israel miaka na miaka.
Samia dhaifu sana, alipaswa kumpa balozi 72hrs aondoke nchiniTufukuze na ubalozi wa palesina nchini kabisa, tusiongee tu, tufanye action on the ground kuonyesha how deeply saddened we are as a nation kwa ukatili huo, japo sijaona hiyo video, ila i feel you brother, pole sana.
Ila binafsi, i want nothing to do with the Israelite bastards either.., maana hayo ndio mashenzy hasa.., yamelaaniwa..! Ikiwezekana dunia nzima tuungane kuyaangamiza hayo mashoga yaliyonyimwa ardhi!
Bila shaka hayo yote yatakuwa yameuawa na IDF pumbavu zaoAnakwepeka tu vizuri.
Hebu ntumie kaka hiyo video PMHeshima kwako the Don. Hivi umeingalia hiyo video hadi mwisho?
Hayo majitu tunaishi nayo humu duniani na kila siku yako hivyo.Yani bora hata nisingekuwa kimbelembele kuangalia.
Aisee nawachukia sana miarabu,mijitu mikatili sana
Naongelea uchungu wa kuuawa watu wasio na hatia,So joshua ni muisrael?
Dogo mkaldayo wewe ni mbishiMkaldayo, taarifa zipo kuwa dogo amekufa. Sasa maswali yangu kuhusu credibility ya source ya hiyo video umeshindwa kuyajibu.
Je ndio yeye kweli huyo Joshua kwenye video?
Je hao wanaooneka kwenye video ni kweli ni HAMAS?
Tupe chanzo kilicho verify hiyo video. Ubalozi wa TZ huko Uyunani wamethibitisha hiyo video?
Sirikali ya wayunani wamethibithisha hiyo video?
Hamkawii kesho kuanza kusema Joshua yupo salama na ile video ilukuwa ya raia wa Ghana akiteswa na kuuwawa na IDF.
Au kweli alikuwa Joshua ila pale chini alianguka tu ila hakuwa amekufa. Maana video imekuwa sensored kwa kinjiwa haionekani mahali mtu akiuwawa kwa risasi au panga. Inaonyesha tu mtu akivutwa na mwisho kalala chini.
Haijaonyesha kama yupo decapitated. Bali yupo tu kalala chini.
Nani anauhakika alielala chini amekufa?
Nani ana uhakika alielala chini ni Joshua?
Hakika hakuna mwenye jibu.
Mimi sio kwamba siumizwi na mtanzania kuuwawa kama inavyosemekana ila I don't easily jump into bandwagons bro.
I have my brains and I put them into use.
Na kama wote tutafuata dini ya kweli kwa ukweli ya Yesu Mpende Jirani yako kama nafsi yako na umpende Mungu kwa moyo na nafsi yako yote.Hadi pale tutapoacha kuweka udini, ukabila, utaifa au ethnicity mbele ya utu. Dunia itabadilika
Hiyo video imenihudhunisha lakini haijanifanya nisahau kuwa hapo congo tu watu wanafariki daily na pale vita zinapoanza. Watu wanachukua upande na kushabikia as if wanaokufa humo ni Kuku au nyoka ambao uhai wao hauthaminiki
Tuache ushabiki kwenye maisha ya watu, tusisubiri uathiriwe ndio ujue uchungu wake. Sisi sote ni binadamu
NotedAtleast wewe umeongea point,hapo South kila mara wabongo wanakula chuma kwa kubaguliwa tena bila kua na vita,weusi kila mara wanachula chuma ndani ya US.