Najuta kuingalia video ya Joshua

Najuta kuingalia video ya Joshua

Atleast wewe umeongea point,hapo South kila mara wabongo wanakula chuma kwa kubaguliwa tena bila kua na vita,weusi kila mara wanachula chuma ndani ya US.
Tatizo udini, ukanda, utaifa na ukabila ukiingia ndio vifo hupewa ile sensitivity kwa sababu zinakuwa zinahalalisha hoja za watu binafsi. Wala sio kuhusu mtu aliyefariki ila hicho kifo kinaongeza chachu kiasi gani kwenye propaganda aao. It's sad mkuu
 
ameuliwa na HAMAS makasiriko unaleta kwa wapalestina wote

Foolish
Hawa ndio kila siku humu walikua wanafurahia na kuwashabikia Wayahudi kuua wapalestina wasio na hatia,au Wapalestina wasio na hatia kuuliwa ni sawa? Kama kupinga kuuawa raia wasio na hatia tupinge kwa haki sawa kwa wote na sio kwa ubaguzi.
 
Tatizo udini, ukanda, utaifa na ukabila ukiingia ndio vifo hupewa ile sensitivity kwa sababu zinakuwa zinahalalisha hoja za watu binafsi. Wala sio kuhusu mtu aliyefariki ila hicho kifo kinaongeza chachu kiasi gani kwenye propaganda aao. It's sad mkuu
Huyo anayelaumu na kujifanya kaumia,kesho akikuta mwizi anapigwa na yeye ataunga na kuanza kumpiga mwizi mpaka kumuua bila hata kuuliza kaiba nini au nani aliyeibiwa.
 
Mkaldayo, taarifa zipo kuwa dogo amekufa. Sasa maswali yangu kuhusu credibility ya source ya hiyo video umeshindwa kuyajibu.

Je ndio yeye kweli huyo Joshua kwenye video?

Je hao wanaooneka kwenye video ni kweli ni HAMAS?

Tupe chanzo kilicho verify hiyo video. Ubalozi wa TZ huko Sayuni wamethibitisha hiyo video?

Sirikali ya wasayuni wamethibithisha hiyo video?

Hamkawii kesho kuanza kusema Joshua yupo salama na ile video ilukuwa ya raia wa Ghana akiteswa na kuuwawa na IDF.

Au kweli alikuwa Joshua ila pale chini alianguka tu ila hakuwa amekufa. Maana video imekuwa sensored kwa kinjiwa haionekani mahali mtu akiuwawa kwa risasi au panga. Inaonyesha tu mtu akivutwa na mwisho kalala chini.

Haijaonyesha kama yupo decapitated. Bali yupo tu kalala chini.

Nani anauhakika alielala chini amekufa?

Nani ana uhakika alielala chini ni Joshua?

Hakika hakuna mwenye jibu.

Mimi sio kwamba siumizwi na mtanzania kuuwawa kama inavyosemekana ila I don't easily jump into bandwagons bro.

I have my brains and I put them into use.
 
Swali langu moja tu , hivi hii vita ni ya Israel dhidi ya Hamas ambacho ni kikundi cha magaidi kama wasemavyo wao.. au ni dhidi nchi ya Palestina? Kama ni Dhidi ya Hamas kwanini Israel isipigane na Hamas bali inalipua mpaka majengo ya shule na hospital ambazo kuna mamia ya wapalestina wanakufa?

Unafikiri nao hawaumii kwa hayo ndugu zao wanayopitia?? Moyo unauma kumpoteza Mtz mwenzetu ila hii vita sijawahi elewa Israel anapigana na nani hapo kati ya taifa au kundi la magaidi
 
Tufukuze na ubalozi wa palesina nchini kabisa, tusiongee tu, tufanye action on the ground kuonyesha how deeply saddened we are as a nation kwa ukatili huo, japo sijaona hiyo video, ila i feel you brother, pole sana.

Ila binafsi, i want nothing to do with the Israelite bastards either.., maana hayo ndio mashenzy hasa.., yamelaaniwa..! Ikiwezekana dunia nzima tuungane kuyaangamiza hayo mashoga yaliyonyimwa ardhi!
Samia dhaifu sana, alipaswa kumpa balozi 72hrs aondoke nchini
 
Hakuna aliyefurahi kufa kwa mtanzania mwenzetu ila hoja iko palepale, Israel iache ubabe wa kutaka kuifuta Palestine haitaweza. Kifo cha ndugu yetu kimesababishwa na Israel.
 
Yani bora hata nisingekuwa kimbelembele kuangalia.

Aisee nawachukia sana miarabu,mijitu mikatili sana
Hayo majitu tunaishi nayo humu duniani na kila siku yako hivyo.
Kuna siku mmoja alipiga mkewe kakimbia aokolewe nikamzamisha gheto atulie.
Mzee kaja kuitaji mkewe aisee nilitoka na shoka tukakimbizana mpaka akakoma,na nikamwambia kabisa mkeo atakuja sio leo nyau we.
Dah ikabidi atulie tu.
Ye alikua katoka Iran mke Morocco nafikiri km sio Yemen.
 
Mkaldayo, taarifa zipo kuwa dogo amekufa. Sasa maswali yangu kuhusu credibility ya source ya hiyo video umeshindwa kuyajibu.

Je ndio yeye kweli huyo Joshua kwenye video?

Je hao wanaooneka kwenye video ni kweli ni HAMAS?

Tupe chanzo kilicho verify hiyo video. Ubalozi wa TZ huko Uyunani wamethibitisha hiyo video?

Sirikali ya wayunani wamethibithisha hiyo video?

Hamkawii kesho kuanza kusema Joshua yupo salama na ile video ilukuwa ya raia wa Ghana akiteswa na kuuwawa na IDF.

Au kweli alikuwa Joshua ila pale chini alianguka tu ila hakuwa amekufa. Maana video imekuwa sensored kwa kinjiwa haionekani mahali mtu akiuwawa kwa risasi au panga. Inaonyesha tu mtu akivutwa na mwisho kalala chini.

Haijaonyesha kama yupo decapitated. Bali yupo tu kalala chini.

Nani anauhakika alielala chini amekufa?

Nani ana uhakika alielala chini ni Joshua?

Hakika hakuna mwenye jibu.

Mimi sio kwamba siumizwi na mtanzania kuuwawa kama inavyosemekana ila I don't easily jump into bandwagons bro.

I have my brains and I put them into use.
Dogo mkaldayo wewe ni mbishi
 
Hadi pale tutapoacha kuweka udini, ukabila, utaifa au ethnicity mbele ya utu. Dunia itabadilika

Hiyo video imenihudhunisha lakini haijanifanya nisahau kuwa hapo congo tu watu wanafariki daily na pale vita zinapoanza. Watu wanachukua upande na kushabikia as if wanaokufa humo ni Kuku au nyoka ambao uhai wao hauthaminiki

Tuache ushabiki kwenye maisha ya watu, tusisubiri uathiriwe ndio ujue uchungu wake. Sisi sote ni binadamu
Na kama wote tutafuata dini ya kweli kwa ukweli ya Yesu Mpende Jirani yako kama nafsi yako na umpende Mungu kwa moyo na nafsi yako yote.
 
Back
Top Bottom