Najuta kujenga kibanda changu uswahilini. Mswahili ni mtu duni sana

The Devil should not be treated gently. Halafu Mimi nimezaliwa kwenye Uislamu nimekulia kwenye Uislamu nimeanza kwenda kanisani mwaka Jana.

Mkuu inaonekana Una ufahamu mdogo Sana kuhusu waswahili. Mswahili ukiongea nae kistaarabu wala hawezi kukuelewa. U deal with them by using their own currency.

Vituko vyote hivyo mtoto wake anafanya mama MTU anaona na hafanyi uamuzi wowote means yeye ndio anabariki upuuzi Huo.

Mswahili ukimuendekeza ataanza kuona NI Halali yake.

Kwa mfano ukiwa kila siku Una mnunulia bia Mwisho WA siku ataona ni Haki yake wewe kumnunulia bia siku usipo mnunulia atakuchukia
 
😂😂😂 basi jenga uzio tuu ata wa waya kama hutaki mazoea
 
Ungetumia hekima ya watu wa pwan i tu unapamkulia unampelekea kwao kila unapojisikia kufanya hivyo na dsiku usipopeleka "hawawezi"kuja kukugongea.

Maana iko wazi hapo lishe tabu tu na umaskini kwa mtoto haujifichi msaidie jirani baba usiwe na roho ya choyo she is 4yrs old show them love utaweza kum control na atakuwa na adabu tu.

Chuki mbaya kwa watoto ni mbaya mno na ni laana
 
Huu uzi mpaka comments umenichekesha sana, utadhani masihara kumbe the movie is real.

Ila naomba nikuulize mkuu swali moja, una watoto 3 unaishi na house girl mama zao uliachana nao.
Swali.

How possible kila mwanamke unamuoa then unaachana nae??
 
Mkuuu mimi sio tajiri LAKINI NIMEJIWEKEA STANDARDS ZANGU.
1. kila nijengapo lazima nijenge ukuta
2. Nachagua sana eneo la kujenga
3.uswahilini mwiko bora nijenge nje ya muji kabisa
4. Sipendagi mwingiliano na mikelele

Hii ndio salama yangu
 

Sina MKE . Mi msela bro . Ningekuwa na mke nisingeleta Uzi huu Hapa cause nyumba ikiwa na MKE haifanyiwagi ujinga kama huu huwa inaogopwa na kuheshimika. Hata kukopa hela watu wanakuwa wanaogopa.

Mtoto hajui chochote ndio maana nimemfuata mama ake.
 
Aisee
 
Sina MKE . Mi msela bro . Ningekuwa na mke nisingeleta Uzi huu Hapa cause nyumba ikiwa na MKE haifanyiwagi ujinga kama huu huwa inaogopwa na kuheshimika. Hata kukopa hela watu wanakuwa wanaogopa.

Mtoto hajui chochote ndio maana nimemfuata mama ake.
Bro umefeli sana, nakuomba fuatilia komenti ujijue, inaelekea hujawahi kujijua madhaifu yako.
Yesu aliuliza "watu huni nena mimi ni nani?"
Alitaka kujua kuwa nje ya box watu wanamtamaje na kumuelewaje?
 
Na ww unaonekana mswahili huna haja ya kupiga vijembe kupitia muziki ili wakuelewe!
mm kama ningekuwa ww. Na nina hela huyo mtoto wa jirani angekuwa anakuta nimemuwekea mabakuli ya nyama.
Duh sasa ukifanya hivyo huyo dogo si atahamia kwako kabisa
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]duh
 
Bro umefeli sana, nakuomba fuatilia komenti ujijue, inaelekea hujawahi kujijua madhaifu yako.

Yesu aliuliza "watu huni nena mimi ni nani?"

Alitaka kujua kuwa nje ya box watu wanamtamaje na kumuelewaje?
That is Jesus. Never be a too much nice guy. To many people a nice guy passes as a foolish guy.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…