Najuta kujirahisisha kwa jimama la benki kuu

Najuta kujirahisisha kwa jimama la benki kuu

Hapa kazini tumeshamjua na wamem foward dia ujumbe wako. Umeshaharibu kazi kijana, jiandae kisaikolojia huna wiki moja mbele kimeshaota nyasi
Benki kuu ni taasisi kubwa haina watu wajinga kama wewe. Hamna mtu ametajwa kwa jina wala wajihi, pia hii taarifa haijathibitishwa kama ni ya kweli au changamsha genge.

Grow up muzi a.k.a vuzi
 
Malengo YAKO ni yapi kwa miaka yote uliyoishi apooo,,,,huna ndugu wa karibu,,,huyo mama hana mme.....tupe majawabu hapa tuone
Kwa sasa malengo yangu ni kufunga naye ndoa, nimpe sumu nirithi mali zake.

Ndugu yangu wa karibu ndio huyuhuyu mama maana ndugu walipoona niko na mama over age, wakafuta undugu.
 
Nina umri wa miaka 29, tangu nimalize chuo miaka mitano nyuma sijapata kazi, nikajiegesha kwa maza mmoja anafanya kazi benki kuu, anaishi maghorofa ya Mbezi Beach, aisee najuta, simu yangu iko tracked muda wote. Ikifika tu muda wake wa kutoka anataka niwepo getini kwake namngoja, baada ya hapo tunaenda kwake Mbezi Beach.

Ananikondesha, maza sijui anakula mkuyati gani? Ana nyege zisizoisha. Yaani nakuwa mchovu muda wote.

Sasa ameanza kunipa dawa ya kuniboost ili tu nimkune usiku kucha.

Najuta kujirahisisha kwa jimama la benki kuu
Vijana wengi hufa mapema au kuharibu future yao kwa tamaa za kupenda majimama yenye kazi kubwa. Hapo hujampenda huyo mama bali umeipenda kazi yake. Mpende mtu akiwa katika uasili wake na sii kwa kazi
 
Vijana wengi hufa mapema au kuharibu future yao kwa tamaa za kupenda majimama yenye kazi kubwa. Hapo hujampenda huyo mama bali umeipenda kazi yake. Mpende mtu akiwa katika uasili wake na sii kwa kazi
Nampendaaaa usinifundishe maisha
 
You have a very low thinking. Hapa umetoa mpaka address ya boss wako. Kibarua kitaota sasa. Hili taifa lina vijana wengi wajinga na wazembe sana. Kama hatua hazitachukuliwa kwenye malezi na elimu yetu then tutakuwa tunatenganeza wajinga wengi sana kama huyu. Sishangai kufanya kazi unayoifanya.
😂😂😂 Mkuu hizi ni chai, don't take it seriously
 
Huyo jimama nae ni binadamu jaman, anastahili raha kama wengine. Muoe kabs iwe imetoka hiyo. Maisha yenyewe ndo haya magumu hivi!!
 
Nina umri wa miaka 29, tangu nimalize chuo miaka mitano nyuma sijapata kazi, nikajiegesha kwa maza mmoja anafanya kazi benki kuu, anaishi maghorofa ya Mbezi Beach, aisee najuta, simu yangu iko tracked muda wote. Ikifika tu muda wake wa kutoka anataka niwepo getini kwake namngoja, baada ya hapo tunaenda kwake Mbezi Beach.

Ananikondesha, maza sijui anakula mkuyati gani? Ana nyege zisizoisha. Yaani nakuwa mchovu muda wote.

Sasa ameanza kunipa dawa ya kuniboost ili tu nimkune usiku kucha.

Najuta kujirahisisha kwa jimama la benki kuu
Unakula chips mayai za dar halafu unakimbilia mechi nzito. Utakufa!
 
Back
Top Bottom