KING MIDAS
JF-Expert Member
- Dec 1, 2010
- 8,589
- 16,936
- Thread starter
-
- #101
Benki kuu ni taasisi kubwa haina watu wajinga kama wewe. Hamna mtu ametajwa kwa jina wala wajihi, pia hii taarifa haijathibitishwa kama ni ya kweli au changamsha genge.Hapa kazini tumeshamjua na wamem foward dia ujumbe wako. Umeshaharibu kazi kijana, jiandae kisaikolojia huna wiki moja mbele kimeshaota nyasi
Kwa sasa malengo yangu ni kufunga naye ndoa, nimpe sumu nirithi mali zake.Malengo YAKO ni yapi kwa miaka yote uliyoishi apooo,,,,huna ndugu wa karibu,,,huyo mama hana mme.....tupe majawabu hapa tuone
Sawa ankali, tujipangeMbona mjomba wako niko hapa naweza kukupiga tafu,mimi huku kwa shangazi yako sishibi kabisa fanya mpango tupige kolabo mwanangu tumchukulie vizuri hela huyo maza.
Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
Namba ya bra ni XXXLNipe namba yake mkuu
Vijana wengi hufa mapema au kuharibu future yao kwa tamaa za kupenda majimama yenye kazi kubwa. Hapo hujampenda huyo mama bali umeipenda kazi yake. Mpende mtu akiwa katika uasili wake na sii kwa kaziNina umri wa miaka 29, tangu nimalize chuo miaka mitano nyuma sijapata kazi, nikajiegesha kwa maza mmoja anafanya kazi benki kuu, anaishi maghorofa ya Mbezi Beach, aisee najuta, simu yangu iko tracked muda wote. Ikifika tu muda wake wa kutoka anataka niwepo getini kwake namngoja, baada ya hapo tunaenda kwake Mbezi Beach.
Ananikondesha, maza sijui anakula mkuyati gani? Ana nyege zisizoisha. Yaani nakuwa mchovu muda wote.
Sasa ameanza kunipa dawa ya kuniboost ili tu nimkune usiku kucha.
Najuta kujirahisisha kwa jimama la benki kuu
Nampendaaaa usinifundishe maishaVijana wengi hufa mapema au kuharibu future yao kwa tamaa za kupenda majimama yenye kazi kubwa. Hapo hujampenda huyo mama bali umeipenda kazi yake. Mpende mtu akiwa katika uasili wake na sii kwa kazi
😂😂😂 Mkuu hizi ni chai, don't take it seriouslyYou have a very low thinking. Hapa umetoa mpaka address ya boss wako. Kibarua kitaota sasa. Hili taifa lina vijana wengi wajinga na wazembe sana. Kama hatua hazitachukuliwa kwenye malezi na elimu yetu then tutakuwa tunatenganeza wajinga wengi sana kama huyu. Sishangai kufanya kazi unayoifanya.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Kwani shule zimefungwa tena?
Kalelewa na roho mtakatifu[emoji3][emoji3]Umemaliza degree chuo gani?
Ulisoma kozi gani?
Umelelewa na wazazi wote wawili?
Tuanzie hapo kwanza.
Pumbavu hakuna mtu mzima yatima.Ni yatima
Unakula chips mayai za dar halafu unakimbilia mechi nzito. Utakufa!Nina umri wa miaka 29, tangu nimalize chuo miaka mitano nyuma sijapata kazi, nikajiegesha kwa maza mmoja anafanya kazi benki kuu, anaishi maghorofa ya Mbezi Beach, aisee najuta, simu yangu iko tracked muda wote. Ikifika tu muda wake wa kutoka anataka niwepo getini kwake namngoja, baada ya hapo tunaenda kwake Mbezi Beach.
Ananikondesha, maza sijui anakula mkuyati gani? Ana nyege zisizoisha. Yaani nakuwa mchovu muda wote.
Sasa ameanza kunipa dawa ya kuniboost ili tu nimkune usiku kucha.
Najuta kujirahisisha kwa jimama la benki kuu
Nile nini babu?Unakula chips mayai za dar halafu unakimbilia mechi nzito. Utakufa!