MWEMBEKIUNO
JF-Expert Member
- Sep 6, 2016
- 1,877
- 2,489
Juzi nilitumia passo kutoka kibaha hadi mvuti kwenda na kurudi nikatumia mafuta ya 15,000 na bado hayakuisha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkokoteni wenye injiniTerius kid idumu asee,hongera sana mjapani,yaani cc660 full ac,wese kiduchu kweli naenjoy sikaachi
PoaKama halina tatizo lingine..tumalizane kwa 10mln.
Njoo chumbani.
Jitahid kutafuta pesa
Anazingua huyu hakuna kitu kama hichoLita 10 Kimara hadi Kariakoo?
Kwamba ukiweka wese la 25,000tsh hivi halitoshi safari ya Kimara<>Kariakoo<>Kimara
14Kimara to Kariakoo ni kilometer ngapi?
Sawa lakini kila siku nakupita shell ukijisalimisha kwa mwarabuMkokoteni wenye injini
Jf aiseeSawa lakini kila siku nakupita shell ukijisalimisha kwa mwarabu
demu wangu anal ameshalia sana, kashajilaumu sana, na kahaumia sana. Naona amekubariNilijichanganya kwa ushauri kutoka kwa Mafundi uchwara. Nilinunua Toyota Harrier 2990cc Petrol ukiweka Lita 10 kutoka Kimara mpaka Kariakoo taa inawaka. Naliuza kwa 17m TZS Ila wateja hawarudi.
View attachment 2124934
PoleNilijichanganya kwa ushauri kutoka kwa Mafundi uchwara. Nilinunua Toyota Harrier 2990cc Petrol ukiweka Lita 10 kutoka Kimara mpaka Kariakoo taa inawaka. Naliuza kwa 17m TZS Ila wateja hawarudi.
View attachment 2124934