Najuta kumiliki Harrier 2990cc (Petrol)

Najuta kumiliki Harrier 2990cc (Petrol)

Juzi nilitumia passo kutoka kibaha hadi mvuti kwenda na kurudi nikatumia mafuta ya 15,000 na bado hayakuisha
 
Terius kid idumu asee,hongera sana mjapani,yaani cc660 full ac,wese kiduchu kweli naenjoy sikaachi
 
Huu ni mda wa kuanza kutumia electric cars au za solar dunia inataka hivyo na dunia ni wa majuu wengine ni ardhi tu
 
Kama ingine ina Kodi ya 1MZ na hii IPO na kwenye Alphard inakula mafuta Sana ingine kubwa gea box ndogo
 
Lita 10[emoji23][emoji23]

Mkuu nadhani ulinunua gari zaidi ya uwezo wako wa kulitunza
 
Rudi tu kwenye suzuki alto huku ulienda mbali sana achia wenye hela
 
Nimepita malawi wao wengi wana gari ndogo hizi zenye Engine ndogo na brand yeyote hayo majini wanakua nayo kwa ajili ya safari za mbali na wana vigari vingi sana na mafuta wao wananunua 2740 ukiibadili kuwa Tsh na pia kodi za magari kwao sio changamoto kama kwetu ndio maana kwetu kununua gari lazima muhusika aulize sana maana ukikosea tuu uchelewi kutembea tena kwa miguu...hiyo gari utauza ila sio kwa bei uliyotangaza...
 
Back
Top Bottom