Najuta kumkaribisha demu wangu JF


Mpango mzima kama vipi ufe tu! Au kama unajiweza tafta bas...a akitokea kweli unammaliza!
 
Cheki sasa umewashtua wengi waliokuwa wakichati....! Kila mmoja sasa anahofia kukubali akihofia huenda sio mgeni...!
 
niupe mimi hiyo akaunti nyako mpya, halafu nikutane nae. acha uboya wewe nani kakwambia uwe na password ya mchumba wako, unatafuta kufa mapema bure kwa presha, mwanamke kutongozwa ni kawaida, kukubali ni msimamo wake, ila wewe unaweza msababishia akakubali kwa matendo yako mabovu.
 
Naomba ucheki kwenye pm za demu wako kama jamaa yangu nae katongoza...si unajua id yake!!!
 
Kwa hiyo unatuambia kwamba demu wako kiruka njia ama?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…