Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mkuu mi nitoe kwenye hiyo list maana nilishafeli interview ya kuingia kwenye hiyo list mwekundu ndio alipita tena bila ya kupingwa
yapaswa wawe na muhuri wao ....
Demu wangu hakuwa hata anajua kama duniani kuna jukwaa la JF,
Nikamshawishi ajiunge na akajiunga, tokea ajiunge wanajukwaa wengi wa kiume wamekuwa wakimsumbua sana kwa pm, wakipiga mistari,
Wengine wamefikia hatua hadi ya kumtumia namba za simu, nikitembelea profile yake nakuta vistors kibao wa kiume.
Kama mnavyojua miluzi mingi humpoteza mbwa, ninahofu anaweza nipotea kwa mtindo huu, kinachonitisha zaidi niliamua kutengeneza ID asiyoijua nami nikaanza kumtongoza, kanitumia namba yake na ninachat naye sana na ameshaonesha dalili zote za kunikubali, mtihani ni kuonana naye, naogopa kuweka appointment halafu kweli atokee, nitazimia.
mie siwezi muuliza kwasababu siyo muhusika wa hili swali
Basi kama vp tumpotezeee.
haahahahhaha bhaaaassssssTeh teh nishawahi kukutana nae huyo,naomba asimtaje tu
I love you two two march
Cheki sasa umewashtua wengi waliokuwa wakichati....! Kila mmoja sasa anahofia kukubali akihofia huenda sio mgeni...!Demu wangu hakuwa hata anajua kama duniani kuna jukwaa la JF,