Najuta kumpa ndugu yangu PS (playstation), kawa kama Teja

Unaogopa mtu kulia?
Shida sio wanangu ni watoto wa dada wasije wakasema nawanyanyasa. Hii shida wazazi wao ndio wameikuza huwa hawawakatazi watoto wao hata wakizingua sasa mimi nikiwaletea ngumu naona maneno yataanza ndio sababu huwa nawaacha tu wakimaliza likizo wanasepa kwao.
 
Yeah umeshaharibu kijana wa watu.
 
😂😂😂 Nmecheka, Sophy zile nzuri sana kuna muda naelewa kwa nini watu wanazipenda.
😂😂😂Maana naonaga tu 3M labda Ronaldo unapigwa nae story live sebuleni😂😂
 
Mimi nashangaa sijawahi kuvutiwa na huo mchezo kabisa wakati watu niliokuwa nao walipenda sana mchezo huo, huo na pool table, na yote sijui kucheza

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Aiseee pole
 
Hahaha
 
Vijana wa KiChina walikuwa addicted na hii kitu mpaka Serikali ikaingilia kati
Tuache utani mkuu, PS ni kitu kingine. Utaichukulia simple endapo tu Games ambazo unazo umewahi kuzicheza na hakuna kitu ila ndo nacheza FIFA master league au Call of Duty hivi mwendo wa mission ni hatari ile game.
 
haya mambo ya kulea watoto kimayai ndio mwisho wa siku tunazalisha watoto mabwabwa. yani hadi toto linashinda kutwa kwenye ps naww upo hapo?
 
Sasa Macdonald na KFC zimefata Nini kwenye freemason🤣🤣🤣 mkuu umekula lakini? Usikute ni njaa inakupelekesha?
 
Hiki kitu ni very addictive,sema tu ninyi watu mpo very ignorant of Satan's schemes.Unfortunately you have been duped into believing that it is development,it is not.Halafu mkiambiwa ukweli you rush into saying,that is conspiracy theory." Ngoja tuwaache mzidi kuharibikiwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…