Mediocrist
JF-Expert Member
- Jan 27, 2015
- 1,709
- 981
Hivi John champion hayupo sikuhizi😀😀😀😀Hello and welcome, my name is Derek rae and coming to you with the commentary position is Martin Tyler.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi John champion hayupo sikuhizi😀😀😀😀Hello and welcome, my name is Derek rae and coming to you with the commentary position is Martin Tyler.
Kwa watoto wadogo ni rahisi sana kuwalinda wasipate urahibu ingawaje pia inahitaji nguvu za pamoja za jamii!!Upo sahihi rafiki. Ninachowaza unahisi nini kifanyike kupunguza huu uraibu maana hali inazidi kuwa mbaya
Alistaafu tukaletewa kichaa Peter Drury noma sanaHivi John champion hayupo sikuhizi😀😀😀😀
Good moveTUNAFIKA ULIPO KWA DAR 0710701361 📞
FIFA 23 LA PS4 LIPO🔥🔥🔥
PES 23 LA PS4 LIPO🔥🔥🔥
PES 23 LA PS3 LIPO🔥🔥🔥
Pia tunaweka games nyingine kali kwenye PSP, PS2, PS3, PS4 pamoja na PC.
KWA PS4 NI 15000 KWA GAME KWA MASHINE ZILIZOCHIPIWA TU.
KWA PS3 NI 5000 KWA GAME, GAMES KUANZIA TANO KUNA OFA.
KWA PS2 NI 2000 KWA GAME KUANZIA TANO KUNA OFA PIA.
KWA GAMES ZA PC NI 5000 TU.
KWA GAMES ZA PSP KUWEKEWA KWENYE SIMU NI 1500 TU.
PIA TUNAFANYA WINDOWS INSTALLATION KWA BEI POA KABISA NA KUWEKA MOVIES NA SERIES KALI.
TUNAFIKA POPOTE ULIPO HASA KWA DAR.
Kwa mawasiliano zaidi 0710701361.
Instagram www.instagram.com/skygames_arena
Welcome back it's me Peter Drury alongside Jim Belgin😂Unamsikia tu Martin Toiler😂😂
😂😂Alex Hunter nakumbuka nimeanza nae fifa17 kipindi yupo chaliimtoa mada unajua raha ya kuanza career mode na kijana kutoka academy mdogo mdogo mpaka anakua supastaa wa dunia?? acha kabisa raha ya game 😁
tactical defending ndo mwake defender anamfata opponent man to man ila sio ile legacy anakaba njia...Kukaba unataka au kucheza
Kukaba mm natumia tactical defending hii ni full control of your defender
Button unazotumia sana ni direction na box hutumii X kukaba katika hili jifunze sana
Then kupiga pass kuna vi technic kuna Triangle +L2 +R2 izo unapigia Kwa pass za kila aina kuna izo unashika na chop hapo ni kwa pass za mwisho sana sana lazima imkute striker unaua tu easy na shoot
Kama unapenda ku posses utachelewa mzee kuna mi pass ya X +R2 iyo inakuwa kama umepiga 0 inayotambaa
Lazima pia ujue vi skills kidogo vya kumtoka beki
Yangu napendelea sana ball rolling + ile zizou
Mm nina chenga bili na bila kusahau BOX+X
somo ni lefu boss
😂😂😂😂😀Unachanganya Ps na maombi wakati jamaa mmoja juu apo amesema ni mambo ya freemasonsMimi nina mpango wa kuinunua[emoji849] kwenye hii dunia kila kitu lazima ukijaribu ili ujionee mwenyewe utamu wake, kuna mda usiku nakosa usingizi, sasa nitakuwa nafanya ibada usiku na baada ya hapo nacheza game hadi nitakapo kuwa nahisi usingiz.
Kiukweli huwa naisikia tu kwa watu ila mm sijawahi icheza,kwa kuwa nina screen chumban nitacheza mwenyewe, watoto hilo si lao
Nitashangaa kama na mm nitakuwa addicted nalo
Did you want to ask the question "is there any connection between a Play Station and evil?If that is your question,the answer is yes!You see the Devil always wants to steel an individual's money and time and so disconnect the individual from God by not having time with Him through reading His Word and in prayer.There is any connections between Ps and Evil.
Kama ni pesa PS inasave sana fedha.Did you want to ask the question "is there any connection between a Play Station and evil?If that is your question,the answer is yes!You see the Devil always wants to steel an individual's money and time and so disconnect the individual from God by not having time with Him through reading His Word and in prayer.
You will appreciate that once one is hooked to a PS, he/she won't have time with God,even if he/she once had a good relationship with Him.Once the Devil has done that, he has created a bridge to attack the individual, so he will sneak in other sins or forms of immorality which will lead to complete destruction and even death of an individual.We therefore have to be smart and deny the Devil access to our lives in any way or form.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kuna ticha mmoja alinunua kipindi hicho nimepanga next kwake..kila nikipita naona viatu, sendo na raba kama msikitini yaani karibu walimu wote walikuwa addicted mpaka saa saba usiku nasikia kelele na walikuwa wanakula mikate sana nahisi walimix na kamari maana sio kwa addication ile..nusura shule ifungwe ilibidi uongozi uingilie kati
DuuuuhKawa kama zombi
Niliwahi kununua playstation Kwa mwanafunzi flan hivi wa chuoni alikuwa anadaiwa ada na hana pesa, aliniuzia hio mashine Kwa laki 3 na nusu, lengo langu lilikuwa niiuze hata kwa laki 5 maana hii mashine inauzwa takribani laki 8 madukani, kazi zilinitinga nikawa nimeiweka tu sebleni.
Sasa Kuna ndugu yangu huyu kamaliza form 4 mwaka jana anaenda kuanza chuo mwezi huu alikuja kunisalimia mwezi wa 7 hivi, aliiona hio ps na akaanza kuitumia, ilibidi akae siku 4 lakini game lilimnogea alikaa wiki, anavyoondoka aliniomba sana nimpe mashine, nikampa ila nikamwambia aitunze atairudisha akienda chuo.
Mwezi uliopita nimepigiwa simu na mama yake analalamika nimemuharibu mtoto wake, muda mwingi anacheza ps, kulala saa Saba usiku, kapoteza umakini na kawa kama Teja.
Ilibidi mama yake amnyang'anye hio ps kaifungia sehemu anayoijua yeye kaniambia siku nikiihitaji atanisafirishia.
Baada ya kufungiwa hio ps dogo akaanza kwenda kucheza kwa rafiki zake wenye ps, muda ambao marafiki zake hawapo kaanza kwenda kwenye frem za mtaani wanazochezesha ps kwa hela.
Sasa huku kwenye frem wanazochezesha ps huwa wanalipia pesa kwahiyo dogo kaanza kuiba Hela nyumbani Ili aende kucheza, kukiwa hakuna pesa anaweza kuuza vitu vidogo vidogo, baba yake alipogundua alimtembezea kipigo cha haja lakini bado hasikii.
Fundi nguo na mama j unataka uwamwage[emoji23]Kwanza nimepata wazo,
Ngoja nifanye mpango nirud kwenye magame maana Hizi mbususu Sasa zitakuja kunitoa roho.
Mwenye game za mpira aje pm tufanye biashara
Nilikuwa tu najaribu kukusaidia,ila kama umeamua kushupaza shingo sawa,kwa heri.Ila naomba ukumbuke kwamba mwisho wa kushupaza shingo ni kuvunjika shingo.Nimenawa mikono,damu yako sidaiwi.Kama ni pesa PS inasave sana fedha.
Kama ni akili ni mazoezi mazuri sana ya akili.
Kama ni kukuweka mbali na Mungu basi siyo katika PS coz PS ni computer special for game.
Mkuu vipi kuhusu pombe a.k.a Beer a.k.a Gambe nayo imeletwa na Freemason?Nilikuwa tu najaribu kukusaidia,ila kama umeamua kushupaza shingo sawa.Naomba ukumbuke kwamba mwisho wa kushupaza shingo ni kuvunjika.Nimenawa mikono,damu yako sidaiwi.
Mkuu minions wa Shetani ni wengi,sio Freemasons tu.Ninaloweza kusema for certain ni kwamba Shetani ndiye mastermind wa ulevi.Kamtumia nani kuleta tabia ya ulevi sina hakika,maana watengeneza pombe ni wengi na wapo spread across the whole underground society spectrum.Mkuu vipi kuhusu pombe a.k.a Beer a.k.a Gambe nayo imeletwa na Freemason?