Najuta kumtia umasikini Mama yangu

Najuta kumtia umasikini Mama yangu

Kwenye umalaya Mimi sipo kwasababu huo umalaya Kwa kiasi Fulani umeibomoa sana familia yetu. Hadi Leo hii nimekuwa mtu wa kulaumu. Ndio maana kwenye andiko langu hili hujaona sehemu nimemtaja BABA. isingekuwa yeye kuendekeza chini Leo hii Mimi pengine ningekuwa kwenye nafasi nzuri TU😭😭😭

Kwa hiyo Mimi Nina uchungu siwezi kuendekeza chini. Japo napapenda ila Kwa mtu mmoja TU🤣🤣🤣​
Kudadeki,usijiwekee vikwazo kijana kula vitu mura
 
Sasa badala uchangamke wewe unaegemea na kuanza kutype humu .

Hiyo hali ingekuwa inakukera basi usingekuwa bado upo hapo.
 
Sasa badala uchangamke wewe unaegemea na kuanza kutype humu .

Hiyo hali ingekuwa inakukera basi usingekuwa bado upo hapo.
Nichangamkaje sasa. Kama kuhangaika nahangaika lakini Bado maisha yenyewe yanachanganya🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom