Kwenye umalaya Mimi sipo kwasababu huo umalaya Kwa kiasi Fulani umeibomoa sana familia yetu. Hadi Leo hii nimekuwa mtu wa kulaumu. Ndio maana kwenye andiko langu hili hujaona sehemu nimemtaja BABA. isingekuwa yeye kuendekeza chini Leo hii Mimi pengine ningekuwa kwenye nafasi nzuri TU😭😭😭
Kwa hiyo Mimi Nina uchungu siwezi kuendekeza chini. Japo napapenda ila Kwa mtu mmoja TU🤣🤣🤣