Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Au mama yake ni single mama...Baba alipaswa kumsaidia. Kwanini alaumu kufeli kwa mama yake wakati baba yupo?
Pole sana...Na Nina muomba sana Mungu asimchukue mama yangu kabla sijajipata. Na ni Bora anichukue Mimi kwanza japo natamani sana siku Mungu atakayo nichukua anichukue nikiwa nimemuacha Mama yangu pazuri...
Kwani kusoma usekretare kuna uhusiano gani na mimba? Usektretare sio shule ya msingi au sekondari. Angeendelea kusoma na mimba yakeAngefanyq siri mimba ya kwanza haionyeshi kuwa mkweli mara nyingi, ni mbaya
Kwa asilimia mia moja aliye husika na mateso ya mama ni baba yako. Wewe ni matokeo ya baba yako mjinga.
Simama imara upambane kimaisha, mafanikio yanahitaji kujitoa akili.
Umesema yule Mtendaji wa Nmb alifanyaje na mama? Kujitoa akili kunalipa, muombe mama akusogeze, huyo dada yupo karibu sana na wahindi.
Asante🙏Pole sana...
Inashangaza sana kwa kweli...Anajilaumu kwa kosa la ulinzi la wazazi wake.... Dunia hii bhana
Yeah... Na mama ana ndugu kibao. Kidume anapaswa kujichanganya na kujitoa ufahamu. Sio kumlilia mama.Au mama yake ni single mama...
Atuambie kwanza..
Sema tu una tafuta kazi ili uweze msaidia mama Kwa namna ambayo unawezaSidhani kama ajutii japo aniambii ila dah. Inatia hudhuni imagine marafiki zangu niliosoma nao 75% wanaajira zinazoeleweka.
Inafikia kipindi mama nikimpigia simu ananiambia mtafute rafiki yako Fulani pengine anaweza kukuunganishia kazi.
Huku huyo rafiki yangu nikiwa Sina mawasiliano nae yoyote SI unajua tena Kila hatua mtu anayo piga anakuwa na marafiki wapya.
Nina miaka 30+ lakini Bado 75% ya maisha yangu IPO mikononi Kwa mama.
ndio atakua anaumia uchumi wako hauko vizuri, ila hakutakii mabayaSidhani kama ajutii japo aniambii ila dah. Inatia hudhuni imagine marafiki zangu niliosoma nao 75% wanaajira zinazoeleweka.
Inafikia kipindi mama nikimpigia simu ananiambia mtafute rafiki yako Fulani pengine anaweza kukuunganishia kazi.
Huku huyo rafiki yangu nikiwa Sina mawasiliano nae yoyote SI unajua tena Kila hatua mtu anayo piga anakuwa na marafiki wapya.
Nina miaka 30+ lakini Bado 75% ya maisha yangu IPO mikononi Kwa mama.
Kwani kusoma usekretare kuna uhusiano gani na mimba? Usektretare sio shule ya msingi au sekondari. Angeendelea kusoma na mimba yake
Kwahiyo unadhani maisha yamekuwa magumu sababu ya mama kutokuwa na kazi ya usekretari?Amesoma darasa Moja na mama yangu. Huko kijijini Kwao singida.
Napambana sana ndugu yangu ila Kila siku naanza upya. maisha ni magumu...sana😭😭😭
Hata nikipitia Lebanon lazima nipite misri!??Pole sana...
Kila kitu kinasababu
Hata Yusufu alipouzwa utumwani alihisi ndo mwisho lakini kumbe ilikuwa ndo njia ya mafanikio kwake...
Huwezi kwenda Kanani bila kupita Misri
Sema tu una tafuta kazi ili uweze msaidia mama Kwa namna ambayo unaweza
Kama wewe anaweza kukwambia mcheki fulani basi nawe mpe jukumu amcheki Hugo CEO wa Bank Ili upate kupunguza ukali wa maisha
Endelea kupambana bila kuchoka, sali sana, usijifungie ndani, tafuta watu na marafiki sahihi, Kazi zipo nyingi ila ajira ni chache
Uskretari ilikuwa ni njia TU kama angepata walau angejisomesha akapanda Zaidi na Zaidi.Kwahiyo unadhani maisha yamekuwa magumu sababu ya mama kutokuwa na kazi ya usekretari?
Kujitoa akili kunalipa, tena kunalipa hasa.Kwa asilimia mia moja aliye husika na mateso ya mama ni baba yako. Wewe ni matokeo ya baba yako mjinga.
Simama imara upambane kimaisha, mafanikio yanahitaji kujitoa akili.
Umesema yule Mtendaji wa Nmb alifanyaje na mama? Kujitoa akili kunalipa, muombe mama akusogeze, huyo dada yupo karibu sana na wahindi.
ndio atakua anaumia uchumi wako hauko vizuri, ila hakutakii mabaya
wewe endelea kupambana tu unadhani anataka ukate tamaa?