Donatila
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 7,772
- 22,598
Misri ni maisha magumu...Hata nikipitia Lebanon lazima nipite misri!??
Kanani ni maisha mazuri...
Nilimaanisha hivyo...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Misri ni maisha magumu...Hata nikipitia Lebanon lazima nipite misri!??
Kwa asilimia mia moja aliye husika na mateso ya mama ni baba yako. Wewe ni matokeo ya baba yako mjinga.
Simama imara upambane kimaisha, mafanikio yanahitaji kujitoa akili.
Umesema yule Mtendaji wa Nmb alifanyaje na mama? Kujitoa akili kunalipa, muombe mama akusogeze, huyo dada yupo karibu sana na wahindi.
Sijaelewa kwann ceo wa nmb umemchanganya kwenye masuala yako binafsi ya kifamilia maana kama ni kusoma kasoma na kukaa kwenye dawati na wengi
Badili fikra zako sasa hivi.
Badilisha mindset yako.
Akli yako inachokiamini mara nyingi ndicho kinachokwenda kutkutokea.. mana mawazo yako yana athiri maamuzi yako...
Huwezi ukawaza kufeli maisha yako yote harafu ukafaulu, ni ngumu sana ...
Jitahidi ubadili sana mawazo yako, mtazamo wako, na fikra zako kuhusu maisha ya kimasikini unayoishi... na maisha unayoyafikiria kuishi hapo baadaye..
Tafuta connection za kutengeneza wee mwenye , sehemu zote kwenye flows ya pesa.. pesa utaipata tu..
Connection ya kufahamiana na watu muhimu itachangia sana kubadili hali yako, tabia yako, mawazo yako(unyonge, umasikini)
Ukiwa na marafiki mwizi, au tapeli, kwa namna mmoja ama nyingine kama una ambatana sana na watu hawa... kuna uwezekano mkubwa na wewe mfumo wako wa maisha uka athiriwa nao..!
Mambo yanayotutokea yanachangiwa pia na aina ya wtu tunaofahamiana nao!!!
Thread yote hii hujamzungumzia baba kabisa.
Watoto wa mama mnapenda sana kudeka.
Ndio nyie mnapaswa kuitwa JUNIA.
Labda niseme ukweli ,hakuna kipya hapa.Sidhani kama ajutii japo aniambii ila dah. Inatia hudhuni imagine marafiki zangu niliosoma nao 75% wanaajira zinazoeleweka.
Inafikia kipindi mama nikimpigia simu ananiambia mtafute rafiki yako Fulani pengine anaweza kukuunganishia kazi.
Huku huyo rafiki yangu nikiwa Sina mawasiliano nae yoyote SI unajua tena Kila hatua mtu anayo piga anakuwa na marafiki wapya.
Nina miaka 30+ lakini Bado 75% ya maisha yangu IPO mikononi Kwa mama.
Sijaelewa kwann ceo wa nmb umemchanganya kwenye masuala yako binafsi ya kifamilia maana kama ni kusoma kasoma na kukaa kwenye dawati na wengi
Mimi ni kijana Ambae nimezaliwa mwanzoni mwa mwaka 1990. Hapa hapa kwenye jiji la MAKONDA. Japo Baba na Mama yangu Kila mmoja ni mwenyeji wa mkoa wake.
Mama yangu alibahatika kusoma Hadi darasa la 7. Alifanikiwa kusoma typing enzi hizo ilikuwa hot sana kozi hiyo kama ilivyo computer siku hizi. Alisomeshwa hiyo kozi ili atafutiwe kazi ukizingatia kuwa mjomba wake alikuwa na cheo kikubwa TU wizara ya AFYA {R.I.P BABU}
Bahati haikuwa yake kwani katika harakati hizo za kutafutiwa kazi ikagundulika kuwa yeye Mama ni mjamzito. Hapo ndipo maisha yake yalipo Anza kuwa ya kawaida nadhani mimba hiyo ilimtoa kabisa kwenye reli😭😭😭
Wenzie alio soma nao enzi hizo Wana maisha mazuri na majina makubwa mfano Mtendaji mkuu wa NMB. Mh Ruth Zaipuna amesoma na mama yangu darasa Moja.
Nisingekuwa Mimi kuja Duniani pengine mama yangu hivi sasa angekuwa mbali sana kimaisha.
Ujio wangu hapa Dunia ummefanya mama amekuwa na maisha ya kawaida sana. Amehangaika sana na Kwa kiasi Fulani Bado ananihangaikia😭😭😭
Nina hudhuni sana licha ya kuwa nimesoma lakini elimu yangu haijanisaidia. Ni kama ubongo wangu umefungwa minyororo nashindwa Cha kufanya😭😭😭
View attachment 2808722
Na umri wangu huu nikiumwa ikahitaji milioni 1 TU haki vile nitakufa huku najiona. Umri wa mama yangu unaenda Kwa Kasi itafikia kipindi ataitaji msaada wangu.
Na Mimi Bado najitafuta japo namuomba sana Mungu anisaidie nijipate haraka. Na Nina muomba sana Mungu asimchukue mama yangu kabla sijajipata. Na ni Bora anichukue Mimi kwanza japo natamani sana siku Mungu atakayo nichukua anichukue nikiwa nimemuacha Mama yangu pazuri 😭😭😭
Mwenzenu najuta sana kumpa mama yangu UMASIKINI
Ningeandika kuhusu baba ninge haribu. Kiufupi simpendi sana baba yangu. Na katika Hilo siwezi kurudi nyuma🙏😭🙏😭🙏Si ndio hapo sasa
Kina baba wako underrated kinyama....sio fair
Acha upuuzi,sawazisha goli.
tafuta watu unaowaamini uwashirikishe haya machungu yako unakoelekea siko....Hapana Huwa ananipa sana matumaini. Ila Mimi nikijiangalia sioni kama nitajipata😭😭😭 mbele naona giza
Labda niseme ukweli ,hakuna kipya hapa.
ulichokiandika ,ndio hali halisi ya vijana wengi wa kitanzania ,amka pambana . pole sana na huruma za jf hazitokusaidia!
kama ni Ke -i feel ure pain
kama ni me - we belong the same pain pambana chief utapata.
tushakula blueticks sana kwa ndugu,jamaa na marafiki.
Ahsante MUNGU kanitoa juani
Ahsante mama Samia kanitoa street
Asante nitajitahidi...🙏tafuta watu unaowaamini uwashirikishe haya machungu yako unakoelekea siko....
nenda hata kanisani kuna msaada
Kweli...Kuna baadhi ya mambo ni natural hatuwezi kuyabadili😭🙆😭🙆Apa namkumbuka mzee flan hv. Alinambia "usijaribu kujipa stress kwa mambo usoweza kuyabadlsha"
Mawasiliano yake yanapatikana, pambana na kama hili litakushinda basi wewe huna roho ya upambanajiWalipotezana muda sana tokea miaka ya 80 huko juzi hapa ndio amemuona kwenye simu yake smart phone. Ndio akanipa historia Yao yeye na mh. Ruth Zaipuna kuwa walikaa dawati Moja kipindi wanasoma.
Hivyo Hana ata mawasiliano yake.
Zamani hawajali uwe kiwango gani cha elimu wao wanakudisqualified umesikia babuKwani kusoma usekretare kuna uhusiano gani na mimba? Usektretare sio shule ya msingi au sekondari. Angeendelea kusoma na mimba yake
Na akaenda udsm sio degree na masters😂Mama yake kusoma na mkurugenzi mtendaji wa nmb shule ya msingi.. kwake dogo ndio anaona walipaswa leo kuwa na maisha sawa.
Anasahau kujiuliza je sekondari form 1 walifaulu shule sawa sawa.
Stori yake inaonesha mama hakufaulu kwenda form one. Ndio maana akatafutiwa kozi ya type writer.
Ila hasemi kama bosi wa NMB alifaulu mtihani wa la saba na kuchaguliwa kwenda shule ya vipaji maalumu kilakala kuanza form one. Gap la mama yake na mtu anaemtolea mfano lilianza zamani sana.