M24 Headquarters-Kigali
JF-Expert Member
- Jul 9, 2012
- 8,199
- 8,186
Mbona hiyo gari nzuri labda kipato chako ndo duni njoo tubadilishane na Nissan patrol 4500cc diesel......ndo utajua kwamba mjini kuna watu wanaishi kwa gharama kubwa.Mwaka 2019 nilijichanganya kwenye 2009 Mitsubishi Pajero 3,500Di-DAuto, Petrol. Kitu inakunywa karibia 21 litres/100km (highway). Pesa mzozo bado nalipa deni la NMB. Gari haliuziki.
NB: kupenda sifa kumenitokea puani.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nilichukua brevis kwa bei ya kutupa 2m mbona niliuza laki nane gari full tank njombe mbeya haitoboi
Huyo kanunua mkweche, nimefatilia reviews zake hiy gari inakupa 10km/l mpaka 12km/l.Nadhani alijichanganya hapa
Sahihi nimeona pia na ugeni pia kukosa mwongozoHuyo kanunua mkweche, nimefatilia reviews zake hiy gari inakupa 10km/l mpaka 12km/l.
Shida ya kupenda dezo ndio hiyo..
Unamililki gari mbovu hizo gari haziko hivo.....Mwaka 2019 nilijichanganya kwenye 2009 Mitsubishi Pajero 3,500Di-DAuto, Petrol. Kitu inakunywa karibia 21 litres/100km (highway). Pesa mzozo bado nalipa deni la NMB. Gari haliuziki.
NB: kupenda sifa kumenitokea puani.
Mnanunua gari zikiwa vimeo mnakuja kuzibatiza majina ya ajabu ajabu,Nilichukua brevis kwa bei ya kutupa 2m mbona niliuza laki nane gari full tank njombe mbeya haitoboi
Duh, 21ltrs kwa ki scooter changu si mwaka mzima hiyo😂Mwaka 2019 nilijichanganya kwenye 2009 Mitsubishi Pajero 3,500Di-DAuto, Petrol. Kitu inakunywa karibia 21 litres/100km (highway). Pesa mzozo bado nalipa deni la NMB. Gari haliuziki.
NB: kupenda sifa kumenitokea puani.
Una nguvu za kiumeMbona hiyo gari nzuri labda kipato chako ndo duni njoo tubadilishane na Nissan patrol 4500cc diesel......ndo utajua kwamba mjini kuna watu wanaishi kwa gharama kubwa.
Kwa rate hiyo ya fuel consumption, unamiliki gari ambalo linatumia mafuta sawa na fuso la cubic MITA 4.5 likiwa full loaded na mchanga au kokoto au mawe. Pole sana mdauMwaka 2019 nilijichanganya kwenye 2009 Mitsubishi Pajero 3,500Di-DAuto, Petrol. Kitu inakunywa karibia 21 litres/100km (highway). Pesa mzozo bado nalipa deni la NMB. Gari haliuziki.
NB: kupenda sifa kumenitokea puani.