Najuta kununua 2009 Mitsubishi Pajero 3500Di-D: Auto

Najuta kununua 2009 Mitsubishi Pajero 3500Di-D: Auto

Mwaka 2019 nilijichanganya kwenye 2009 Mitsubishi Pajero 3,500Di-DAuto, Petrol. Kitu inakunywa karibia 21 litres/100km (highway). Pesa mzozo bado nalipa deni la NMB. Gari haliuziki.

NB: Kupenda 'show-off' kumenitokea puani.
"Pesa mzozo bado nalipa deni la NMB"

👆👆 Hapa ndio kwenye shida mkuu na wala sio gari.
 
Tafuta toyota aqua 2015 cc 1490, hybrid lita 100 dar tunduma na mafuta yanabaki, kuliko ununue IST au spacio tafuta toyota blade hutojuta, gari kubwa inatakiwa ipate na ndogo ya kua inaipa backup, kubwa safari za mbali, ndogo mizunguko ya mjini
Hapo umeongea 🤔
 
Back
Top Bottom