Kwa nchi zetu hizi gari ni issue kubwa sana.Sure man siku hiz gari ni kitendea kaz kama ilivyo simu ya mkononi tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa nchi zetu hizi gari ni issue kubwa sana.Sure man siku hiz gari ni kitendea kaz kama ilivyo simu ya mkononi tu.
"Pesa mzozo bado nalipa deni la NMB"Mwaka 2019 nilijichanganya kwenye 2009 Mitsubishi Pajero 3,500Di-DAuto, Petrol. Kitu inakunywa karibia 21 litres/100km (highway). Pesa mzozo bado nalipa deni la NMB. Gari haliuziki.
NB: Kupenda 'show-off' kumenitokea puani.
Hapo umeongea 🤔Tafuta toyota aqua 2015 cc 1490, hybrid lita 100 dar tunduma na mafuta yanabaki, kuliko ununue IST au spacio tafuta toyota blade hutojuta, gari kubwa inatakiwa ipate na ndogo ya kua inaipa backup, kubwa safari za mbali, ndogo mizunguko ya mjini
Hiyo ni bonge la Pajero,kwa wanaoijua wana enjoy sana,uimara na matumizi ya mafutaPut 4m40 diesel engine na Manual gear ndo mwarubaini, likikushinda nuizie body!