Najuta kununua 2009 Mitsubishi Pajero 3500Di-D: Auto

Najuta kununua 2009 Mitsubishi Pajero 3500Di-D: Auto

Tafuta toyota aqua 2015 cc 1490, hybrid lita 100 dar tunduma na mafuta yanabaki, kuliko ununue IST au spacio tafuta toyota blade hutojuta, gari kubwa inatakiwa ipate na ndogo ya kua inaipa backup, kubwa safari za mbali, ndogo mizunguko ya mjini
 
Huyo kanunua mkweche, nimefatilia reviews zake hiy gari inakupa 10km/l mpaka 12km/l.

Shida ya kupenda dezo ndio hiyo..
Hizo reviews mara nyingi hazikupi uhalisia, halafu ni za gari mpya. Gari ikishatembea km 100,000 halafu ukae kwenye foleni za Dar ndio utaona balaa. Watu wengi mjini hawafuatilii tu, ila mambo ya 5km per litre ni me
Sasa kuna pacha wake brevis anaitwa progress nae ni mle mle
Watu wanadhani body zikifanana na kila kitu kiko sawa. Progress na Brevis kuna baadhi zina engine powerful sana
 
Hizo reviews mara nyingi hazikupi uhalisia, halafu ni za gari mpya. Gari ikishatembea km 100,000 halafu ukae kwenye foleni za Dar ndio utaona balaa. Watu wengi mjini hawafuatilii tu, ila mambo ya 5km per litre ni mengi
Hiyo consumption yake tena highway wewe unaiona kawaida? hata gari ya petrol ya Cc5000 haina consumption hiyo hat kama imegonga km laki. watu hawatengenezi magari yakipata shida mpaka yawaguse mifukoni ndio utawaona
 
Hajasema ni highway
IMG_20240915_123516.jpg

Post yake hiyo hapo soma vizuri ukiwa umetulia.
 
Tafuta toyota aqua 2015 cc 1490, hybrid lita 100 dar tunduma na mafuta yanabaki, kuliko ununue IST au spacio tafuta toyota blade hutojuta, gari kubwa inatakiwa ipate na ndogo ya kua inaipa backup, kubwa safari za mbali, ndogo mizunguko ya mjini
Gari za ujerumani kama mercedes na bmw ni best kwenye mafuta , c class kuanzia 2014 inaenda kilomita 100 kwa lita 6 tu
Same applies kwa bmw x3 ya diesel kuanzia mwaka 2013 ambayo ni 2000cc zile gari ni best kwenye mafuta
Niliweka lita 60 nilitoka nacho botswana ikaja kuisha mafuta border ya zambia kazungula, amazing car na ni 4x4
 
Dah, hiyo gari mbona ni kama inanusa tu mafuta halafu wewe unaisingizia kwamba inakula mafuta? Watu mnajua kudeka aisee.
Kuna chuma hapa ukishusha kioo tu mpaka chini inakula littre 4, ukikipandisha hivyohivyo, usipofunga mkanda mafuta yanaondoka, ukiwa unaiendesha hiyo sasa ni habari nyingine
Acha uwongo aiseee mungu anakuona ujue.
 
Hizo reviews mara nyingi hazikupi uhalisia, halafu ni za gari mpya. Gari ikishatembea km 100,000 halafu ukae kwenye foleni za Dar ndio utaona balaa. Watu wengi mjini hawafuatilii tu, ila mambo ya 5km per litre ni me
Mie nina chuma moja nimeinunua as 3rd hand.. Ina engine ya 3s, imetembea km 200k na zaidi.

Hii gari nikiwasha hapo kama mtu hajakwambia imewashwa huwezi jua, ulaji wake inategemea na ww unakanyaga vipi..

Ila kunipa 1 ltr per 5km hapana..

Utunzaji, uendeshaji, barabara ina hali gani etc..

Ila nina uhakika huyo jamaa kauziwa Mkweche.
 
Back
Top Bottom