Tafuta toyota aqua 2015 cc 1490, hybrid lita 100 dar tunduma na mafuta yanabaki, kuliko ununue IST au spacio tafuta toyota blade hutojuta, gari kubwa inatakiwa ipate na ndogo ya kua inaipa backup, kubwa safari za mbali, ndogo mizunguko ya mjini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe unauhakika na unachokisema???Haiwezakani maximum ni 40 littres, tu.
Hizo reviews mara nyingi hazikupi uhalisia, halafu ni za gari mpya. Gari ikishatembea km 100,000 halafu ukae kwenye foleni za Dar ndio utaona balaa. Watu wengi mjini hawafuatilii tu, ila mambo ya 5km per litre ni meHuyo kanunua mkweche, nimefatilia reviews zake hiy gari inakupa 10km/l mpaka 12km/l.
Shida ya kupenda dezo ndio hiyo..
Watu wanadhani body zikifanana na kila kitu kiko sawa. Progress na Brevis kuna baadhi zina engine powerful sanaSasa kuna pacha wake brevis anaitwa progress nae ni mle mle
dahh, af kuna jamaa angu anataka kununua hili dude na anasema wese linakula kdgNadhani alijichanganya hapa
BrevisMkuu tank ya gari gani inaingia 70 litres?
Lita 40 ni gari ya Cc 1000...Haiwezakani maximum ni 40 littres, tu.
Hiyo consumption yake tena highway wewe unaiona kawaida? hata gari ya petrol ya Cc5000 haina consumption hiyo hat kama imegonga km laki. watu hawatengenezi magari yakipata shida mpaka yawaguse mifukoni ndio utawaonaHizo reviews mara nyingi hazikupi uhalisia, halafu ni za gari mpya. Gari ikishatembea km 100,000 halafu ukae kwenye foleni za Dar ndio utaona balaa. Watu wengi mjini hawafuatilii tu, ila mambo ya 5km per litre ni mengi
Daktari nipe msaada namaanisha ,unaweza usiniamini ila hela yote ya overtime namalizia kwenye mafuta ,ndiyo maana niliacha kunywa pombe za gharama ili gari isikae getini ikanibidi nihamie kwenye ulanzi tuHio ni jeep kwenye brand ya toyota
Hajasema ni highwayHiyo consumption yake tena highway wewe unaiona kawaida? hata gari ya petrol ya Cc5000 haina consumption hiyo hat kama imegonga km laki. watu hawatengenezi magari yakipata shida mpaka yawaguse mifukoni ndio utawaona
Hajasema ni highway
Gari za ujerumani kama mercedes na bmw ni best kwenye mafuta , c class kuanzia 2014 inaenda kilomita 100 kwa lita 6 tuTafuta toyota aqua 2015 cc 1490, hybrid lita 100 dar tunduma na mafuta yanabaki, kuliko ununue IST au spacio tafuta toyota blade hutojuta, gari kubwa inatakiwa ipate na ndogo ya kua inaipa backup, kubwa safari za mbali, ndogo mizunguko ya mjini
Mbona mimi Carina yangu tena Ti ina Tank ya lina 60 sasa kwa Brevis kuwa na lita 70 mbona kawaida mkuuHaiwezakani maximum ni 40 littres, tu.
My bad....
Spacio sio gari, ukitembelea Km100 ukaichapa mshale , Piston inabast...TUBADILISHANE
NIKUPE
TOYOTA SPACIO
Alooooh kumbe ndo wewe ulieniuzia kimeo.Nilichukua brevis kwa bei ya kutupa 2m mbona niliuza laki nane gari full tank njombe tunduma haitoboi hio si rosa mazei?
Acha uwongo aiseee mungu anakuona ujue.Dah, hiyo gari mbona ni kama inanusa tu mafuta halafu wewe unaisingizia kwamba inakula mafuta? Watu mnajua kudeka aisee.
Kuna chuma hapa ukishusha kioo tu mpaka chini inakula littre 4, ukikipandisha hivyohivyo, usipofunga mkanda mafuta yanaondoka, ukiwa unaiendesha hiyo sasa ni habari nyingine
Mie nina chuma moja nimeinunua as 3rd hand.. Ina engine ya 3s, imetembea km 200k na zaidi.Hizo reviews mara nyingi hazikupi uhalisia, halafu ni za gari mpya. Gari ikishatembea km 100,000 halafu ukae kwenye foleni za Dar ndio utaona balaa. Watu wengi mjini hawafuatilii tu, ila mambo ya 5km per litre ni me