Najuta kununua 2009 Mitsubishi Pajero 3500Di-D: Auto

Najuta kununua 2009 Mitsubishi Pajero 3500Di-D: Auto

Lita 40 ni gari ya Cc 1000...

Hamna gari yenye Cc2500 halafu tank lita 40
Niambie mkuu pana Mteja nilimletea Ford ranger hapo daslm nipe namba yako inbox nimpe akipata changamoto akuone maana niliwahi kumletea X 5 kitambo nimeichukua nimeikuta na matatizo kama haijawahi kwenda kwa fundi wakati ni mtu wa kuwapa mafundi gari sema walikua wanamuibia tu.
 
Hiyo gari ilimsababishiaga presha mstaafu mmoja ambaye alikuwa hajazoea kukimbizana na public transport...

Baada ya kustaafu akamuomba nduguye amtafutie gari Japan, kikaja hicho chuma 😂, halafu mstaafu anaishi nje ya mji...

Chuma kiliishia kukaa juu ya mawe, mstaafu akawa rafiki na watu wa taxi...
Juu ya mawe
 
tatizo lipo sehemu sio kulaumu aina ya gari...kwa fuel cons hio lisingeuzika ulaya maana ungekuwa kila mara unahudhuria petrol filling.. kuna shida sehemu tafuta fundi garamikaau badili engine na mifumo mengine kagua kama exhoust
 
Mwaka 2019 nilijichanganya kwenye 2009 Mitsubishi Pajero 3,500Di-DAuto, Petrol. Kitu inakunywa karibia 21 litres/100km (highway). Pesa mzozo bado nalipa deni la NMB. Gari haliuziki.

NB: Kupenda 'show-off' kumenitokea puani.
Kwahiyo wewe kila siku huwa unatembea km 100?🤔
 
Chief iyo limit wewe umeitolea wapi.
1. Toyota Kluger 2005 tank capacity ni 70ltrs.
2. Prado 150 - 87ltrs
3. Land cruiser 110 ltrs
4. Brevis 70ltrs

Hizo ni gari ambazo nina experience nazo mini binafsi upande wa fuel tank capacity.
Discovery TD 5 110 , Mercedes E 350 60
 
Niambie mkuu pana Mteja nilimletea Ford ranger hapo daslm nipe namba yako inbox nimpe akipata changamoto akuone maana niliwahi kumletea X 5 kitambo nimeichukua nimeikuta na matatizo kama haijawahi kwenda kwa fundi wakati ni mtu wa kuwapa mafundi gari sema walikua wanamuibia tu.

Poa mkuu, namba yangu 0688 758 625.
 
Back
Top Bottom