BrainOs
Senior Member
- Sep 9, 2024
- 173
- 292
Ungechukua ya diesel 4m41,, cc3100 au petrol cc3000v6 hiyo 3500 ni kubwaMwaka 2019 nilijichanganya kwenye 2009 Mitsubishi Pajero 3,500Di-DAuto, Petrol. Kitu inakunywa karibia 21 litres/100km (highway). Pesa mzozo bado nalipa deni la NMB. Gari haliuziki.
NB: kupenda sifa kumenitokea puani.