Najuta kununua 2009 Mitsubishi Pajero 3500Di-D: Auto

Najuta kununua 2009 Mitsubishi Pajero 3500Di-D: Auto

Mwaka 2019 nilijichanganya kwenye 2009 Mitsubishi Pajero 3,500Di-DAuto, Petrol. Kitu inakunywa karibia 21 litres/100km (highway). Pesa mzozo bado nalipa deni la NMB. Gari haliuziki.

NB: kupenda sifa kumenitokea puani.
Dah, hiyo gari mbona ni kama inanusa tu mafuta halafu wewe unaisingizia kwamba inakula mafuta? Watu mnajua kudeka aisee.
Kuna chuma hapa ukishusha kioo tu mpaka chini inakula littre 4, ukikipandisha hivyohivyo, usipofunga mkanda mafuta yanaondoka, ukiwa unaiendesha hiyo sasa ni habari nyingine
 
Mwaka 2019 nilijichanganya kwenye 2009 Mitsubishi Pajero 3,500Di-DAuto, Petrol. Kitu inakunywa karibia 21 litres/100km (highway). Pesa mzozo bado nalipa deni la NMB. Gari haliuziki.

NB: kupenda sifa kumenitokea puani.
Watanzania wengi hatuna good knowledge ya magari , unaponunua gari angalia kwanza consumption, reliability, depreciation rate, matumizi yako, na vitu vinavyosumbua kwenye gari husika kama upo tayari kuvimudu
Kabla sijanunua gari huwa najiridhisha na hayo kwanza ,hata nikinunua likitokea la kutokea huwa tayari nina abc na najua kifuatacho ITV
Sasa pajero utamuuzia nani leo, labda vijijini umtafute mstaafu asiyejua magari umpe afe nalo huku mwenyewe uliyeuza roho inakuuma , unamuonea huruma
 
Mwaka 2019 nilijichanganya kwenye 2009 Mitsubishi Pajero 3,500Di-DAuto, Petrol. Kitu inakunywa karibia 21 litres/100km (highway). Pesa mzozo bado nalipa deni la NMB. Gari haliuziki.

NB: kupenda sifa kumenitokea puani.

Hiyo gari ilimsababishiaga presha mstaafu mmoja ambaye alikuwa hajazoea kukimbizana na public transport...

Baada ya kustaafu akamuomba nduguye amtafutie gari Japan, kikaja hicho chuma 😂, halafu mstaafu anaishi nje ya mji...

Chuma kiliishia kukaa juu ya mawe, mstaafu akawa rafiki na watu wa taxi...
 
Chief iyo limit wewe umeitolea wapi.
1. Toyota Kluger 2005 tank capacity ni 70ltrs.
2. Prado 150 - 87ltrs
3. Land cruiser 110 ltrs
4. Brevis 70ltrs

Hizo ni gari ambazo nina experience nazo mini binafsi upande wa fuel tank capacity.
Uko sahihi sana, kwa mahesbu rahisi tu gari za toyota huwa zina range ya km 500 plus kwa full tank, 40 litres anayosemea kwa engine za brevis haiwezi kufika km300,
Saloons nyingi zane ma engine makibwa zina tank la 70 litres
 
Watanzania wengi hatuna good knowledge ya magari , unaponunua gari angalia kwanza consumption, reliability, depreciation rate, matumizi yako, na vitu vinavyosumbua kwenye gari husika kama upo tayari kuvimudu
Kabla sijanunua gari huwa najiridhisha na hayo kwanza ,hata nikinunua likitokea la kutokea huwa tayari nina abc na najua kifuatacho ITV
Haya mambo yote yapo online siku hizi.

Kununua kitu cha pesa nyingi bila kuangalia specifications na online reviews ni uzembe.
 
Back
Top Bottom