Najuta kuoa huyu mke wangu Adelina

Najuta kuoa huyu mke wangu Adelina

.
20221121_190612.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Evelyn Salt tayari huku mtu ameshabaki na anachomiliki kiuhalisia.

Tulimtahadharisha hapa, kwamba mambo ya Mke wako na pesa zako sio ya kuviongelea Kwa watu bila mpangilio.

Amerudi analia...
 
Pole sana kijana vumilia tu ndio ushalikologa kilichobaki ni kulinywa tu
 
Tatizo kipindi mkiwa na furaha zenu mkiona sisi tunasema hatuoi mnatuona kama wapuuzi fulani, Ona sasa unateseka wewe na hela zako.
 
we lumbumbashi si umeoa juzi tu hata week bado.
Jamaa ana IDs nyingi sana humu, nahisi hata 10 anafikisha

Ukikutana na maneno kama "ufukwe wa bahari za verde, mtoto wa trump, jumba la kifahari, afisa usalama ofisi ya Rais" usihangaike hata ku comment
 
  • Kicheko
Reactions: EEX
Naona watu wanaitana tu, sijui hata nimuite nani[emoji3].
 
Back
Top Bottom