LA7
JF-Expert Member
- Aug 26, 2019
- 655
- 2,369
Hivi kweli Kuna mapenzi matamu kwa mke na mume kwenye ndoa
Au mm nilikosea wapi? Duniani kuishi ni maramoja tu. Je? Nikubali kwamba mm raha ya mapenzi nitaionea kaburini.
Au nifanye tu maamuzi magumu tubakie kulea watoto.
Nikiri tu kwamba NILIKURUPUKA kuchagua wa kuishi nae
Ndio maisha ni magumu pesa ni ngumu je? Mapenzi nayo yanahitaji pesa kiasi gani?
Mbona Kuna wengine wa hali yangu naona wanafurahia.
Ni mwanamke mvumilivu sana Ila kwenye mapenzi amefeli kidogo.
Nimepata demu nipo nae na mahusiano ndani ya miezi 3 amenipa mapenzi ambayo sijawahi kuyapata mpaka nikawa mgeni wa hii dunia
Amepata mimba ameniomba nimtumie nauli arudi maana alienda kwao tanga.
Sasa nawaza je akija nitaipata kweli hiyo furaha. Ukijumlisha na mzigo nitakao ubeba?
Ameniambia yupo tayari hata tuanze kulala chini Ila ni ananipenda.