Liverpool VPN
JF-Expert Member
- Aug 29, 2020
- 6,958
- 16,358
Post #61
#YNWA
#YANGA_BINGWA
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Post #61
Ndo hicho kinachonifanya nivumilie mpaka muda huuHuyo mchepuko usimtumie nauli mwambie utamhudumia akiwa huko huko Tanga, usije ukajichanganya ukampiga chini huyo mke wako, hawa viumbe Kuna namna Mungu kawajalia baadhi ya sifa utakuta ni msafi, mapishi anajua, mama bora ila kukulana hajui anainama kama nn sijui😁, mwingine anajua kupika, mchafu, kitandani fundi na tabia mbaya
Kwani kugawana mali kuna shida? Umaskini ni mbaya sana. Unashindwa kuoa sababu ya umaskini huna akili tafuta hela.Halafu nyie mbw(a) acheni kutuchafua wakataa ndoa.
Humo kwenye ndoa zenu Mnafirw(a), kuna mashoga, mnatombew(a) balaaa ila mmekaa kututukana sisi tuuu.
Nyie fieni humo ndani kimyakimya.
Kuna mwenzako juzi kagawana mali na mkewe.
Umbwa nyie mmekumbatia maumivu mnakufa polepole.
#YNWA
#YANGA_BINGWA
Ni kweli.Familiarity weaken desire
Wenye hela wengi ....Kwani kugawana mali kuna shida? Umaskini ni mbaya sana. Unashindwa kuoa sababu ya umaskini huna akili tafuta hela.
Mkuu bado sana hutapata mafanikio na utaendelea kuwalaumu Wanawake.Ndo hicho kinachonifanya nivumilie mpaka muda huu
Hajawahi kuwa na dalili za kunisaliti
Nilianza nae kulala chini na mabox kanivumilia sana pia bado ananivumilia Ila Sasa kwenye utamu ndo ugomvi unapoanzia mm nataka Mara mbili kwa saa 24 yeye hunipa Mara moja au Mara tatu kwa wiki imezidi sana Mara nne
DuhHalafu nyie mbw(a) acheni kutuchafua wakataa ndoa.
Humo kwenye ndoa zenu Mnafirw(a), kuna mashoga, mnatombew(a) balaaa ila mmekaa kututukana sisi tuuu.
Nyie fieni humo ndani kimyakimya.
Kuna mwenzako juzi kagawana mali na mkewe.
Umbwa nyie mmekumbatia maumivu mnakufa polepole.
#YNWA
#YANGA_BINGWA
Mbona haujaandika cha maana? Inshort tamaa zako zinakuponzaHivi kweli Kuna mapenzi matamu kwa mke na mume kwenye ndoa
Au mm nilikosea wapi? Duniani kuishi ni maramoja tu. Je? Nikubali kwamba mm raha ya mapenzi nitaionea kaburini.
Au nifanye tu maamuzi magumu tubakie kulea watoto.
Nikiri tu kwamba NILIKURUPUKA kuchagua wa kuishi nae
Ndio maisha ni magumu pesa ni ngumu je? Mapenzi nayo yanahitaji pesa kiasi gani?
Mbona Kuna wengine wa hali yangu naona wanafurahia.
Ni mwanamke mvumilivu sana Ila kwenye mapenzi amefeli kidogo.
Nimepata demu nipo nae na mahusiano ndani ya miezi 3 amenipa mapenzi ambayo sijawahi kuyapata mpaka nikawa mgeni wa hii dunia
Amepata mimba ameniomba nimtumie nauli arudi maana alienda kwao tanga.
Sasa nawaza je akija nitaipata kweli hiyo furaha. Ukijumlisha na mzigo nitakao ubeba?
Ameniambia yupo tayari hata tuanze kulala chini Ila ni ananipenda.
Basi ingekuwa hamna haha kuoa kama pasipo kunyanduanaMkuu bado sana hutapata mafanikio na utaendelea kuwalaumu Wanawake.
Inaonekana wewe ni mtu wa Pwani, unapenda sana Uchi kuliko kazi.
Kwa dalili hizi hakuna mwanamke atakuvumilia sema hata huyo wa mwanzo ndio basi tena.
Badilika
Skia mzee kwenye masaa 24 sidhani kama unakulana muda wote ukizidi sana ni masaa mawili matatu zingatia masaa mengine unafanya nn,Ndo hicho kinachonifanya nivumilie mpaka muda huu
Hajawahi kuwa na dalili za kunisaliti
Nilianza nae kulala chini na mabox kanivumilia sana pia bado ananivumilia Ila Sasa kwenye utamu ndo ugomvi unapoanzia mm nataka Mara mbili kwa saa 24 yeye hunipa Mara moja au Mara tatu kwa wiki imezidi sana Mara nne
Eeeeh unasema??Anataka Yas na mke hawezi kutoa hio
hii ya kusema kuwa mshirikishe Mungu ndo inawafanya vijana wa kikristo wachelewe kuoa , na wengine wanazeekea kanisan bila kuolewa , kumshirikisha Mungu ni general term huwa mnaleta confusion kwa vijana wanabaki kutapa tapa tuu na criteria ambazo hazieleweki , wengine kuishia kuzalishwa na wengine kupiga mimba mtaani ..!!! ukiamua kuoa oa hakuna formula ya ndoa na hakuna mwalimu wa ndoa hzo zingine ni bla bla , ni mhimu kujua atttitude yako na yake kama vinaendana na mnaelewana unalianzisha , by any means hata ufanyeje matatizo mtakumbana nayo tuu hyo ni given na mwanamke ni unpredictable by nature leo atakupenda mpak atatoa na machozi kesho utashangaa hatak hata umguse , as man lazima uwe tayar kuyakabili yakikushinda to the point of no return mnagawana mbao maisha yanaendelea msije chomana visu bureUshauri tu kwa ujumla.....
Ndoa ni kitu ghali sana!
Wazee wetu kwa kuligundua hili walikuwa wanatutafutia wake wao wenyewe. Na zile familia zilizokuwa na hitilafu zilikuwa zinaepukwa.
Ikiwa unataka kuoa au kuolewa fanya uchunguzi mkubwa juu ya huyo mwenza wako. Mshirikishe Mungu na washirikishe watu wazima ambao wenye heshima zao watakuongoza vyema.
Tukikurupuka matokeo yake ndiyo kama haya tunaanza kulaumiana, mara ndoa haifai mara ndoa hivi.
Vilevile inatupasa tufahamu, kwenye ndoa yanayochungwa ni mambo ya msingi tu ambayo ndiyo nguzo ya mahusiano. Mapungufu mengine ni ya kawaida ambayo wewe mwanaume unayo na yeye mwanamke anayo. Hayo yasiwatoe kwenye reli.
Kingine, ni vizuri kuziombea ndoa zenu kila baada ya mwaka. Kuna watu hawapendezwi na mahusiano yenu. Hii siri ukitaka kuigundua kama wewe ni muislamu kaa ni masheikh wanaofanya utabibu yaani Ruqya: Unaweza ukawa na mwenza wako akaanza mambo ya ajabu sana mpaka ndoa ikafavunjika kumbe masikini ya Mungu siyo hata yeye watu walishamhamisha akili. Si kila mtu anapendezwa na mahusiano yenu.
Hivi mtu upo nae mda wote, mara mkumbatiane, mnalala pamoja, mnahemeana, mnakulana, anatoka kuoga anajifuta unaona kila kitu sasa mzuka wa kumshindilia utatoka wapi?Ni kweli.
Ndio maana nikasema ndoa sio sex peke yake. Na msipokuwa na urafiki kati yenu basi hakuna lingine la maana mtakalofanya zaidi ya kuboana tuHivi mtu upo nae mda wote, mara mkumbatiane, mnalala pamoja, mnahemeana, mnakulana, anatoka kuoga anajifuta unaona kila kitu sasa mzuka wa kumshindilia utatoka wapi?
Hili linanitokea sana mimi. Huyu kenge nimedhamiria kuachana naye kwa style ya kwenda nje masomoni. Fuckeeen kabisa!
Vijana mnateseka sana shida ni nini? Mi najua wanawakw hawana shida bali ni nyinyi.Hili linanitokea sana mimi. Huyu kenge nimedhamiria kuachana naye kwa style ya kwenda nje masomoni. Fuckeeen kabisa!