Najuta kuoa, najuta kuoa, najuta kuoa

Mapenzi ya nje matamu sana ndo maana unamuona mke wako hafai. Ila ni furaha ya muda mfupi hata huyo mchepuko ukishaanza kuishi nae siku si nyingi utamuona hafai utaanza kutafuta mwingine.
Ndoa ni commitment si mapenzi peke yake.
UPO SAHIHI. ndugu kakolea tanga na kujisahau, anahtaj kuamshwa yupo ucngzn
 
Cha nguruwe hiko bro, bao moja watoto 12🤣
 
Yaani hatujawahi maliza mwezi bila ugomvi kaka hasa kwenye tendo la ndoa nikinyimwa huwa navurugwa vibaya mno
 
Kama Mwanaume hutaki kuoa basi Olewa wewe.

Ndivyo mnataka wazee wa visamvu
Halafu nyie mbw(a) acheni kutuchafua wakataa ndoa.
Humo kwenye ndoa zenu Mnafirw(a), kuna mashoga, mnatombew(a) balaaa ila mmekaa kututukana sisi tuuu.

Nyie fieni humo ndani kimyakimya.

Kuna mwenzako juzi kagawana mali na mkewe.

Umbwa nyie mmekumbatia maumivu mnakufa polepole.

#YNWA
#YANGA_BINGWA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…