Najuta kuoa, najuta kuoa, najuta kuoa

Ndo hicho kinachonifanya nivumilie mpaka muda huu

Hajawahi kuwa na dalili za kunisaliti

Nilianza nae kulala chini na mabox kanivumilia sana pia bado ananivumilia Ila Sasa kwenye utamu ndo ugomvi unapoanzia mm nataka Mara mbili kwa saa 24 yeye hunipa Mara moja au Mara tatu kwa wiki imezidi sana Mara nne
 
Kwani kugawana mali kuna shida? Umaskini ni mbaya sana. Unashindwa kuoa sababu ya umaskini huna akili tafuta hela.
 
Kwani kugawana mali kuna shida? Umaskini ni mbaya sana. Unashindwa kuoa sababu ya umaskini huna akili tafuta hela.
Wenye hela wengi ....
1. Walio wakaachana na ndoa
2. Hawajaoa kabisaaa

TUANZIE HAPA.

#YNWA
#YANGA_BINGWA
 
Kuna komenti moja mdau mmoja alisema"walimu wamechangia sana taifa kuwa na wajinga wengi"
 
Mkuu bado sana hutapata mafanikio na utaendelea kuwalaumu Wanawake.

Inaonekana wewe ni mtu wa Pwani, unapenda sana Uchi kuliko kazi.

Kwa dalili hizi hakuna mwanamke atakuvumilia sema hata huyo wa mwanzo ndio basi tena.

Badilika
 
Duh
 
Mbona haujaandika cha maana? Inshort tamaa zako zinakuponza
 
Mkuu bado sana hutapata mafanikio na utaendelea kuwalaumu Wanawake.

Inaonekana wewe ni mtu wa Pwani, unapenda sana Uchi kuliko kazi.

Kwa dalili hizi hakuna mwanamke atakuvumilia sema hata huyo wa mwanzo ndio basi tena.

Badilika
Basi ingekuwa hamna haha kuoa kama pasipo kunyanduana
 
Skia mzee kwenye masaa 24 sidhani kama unakulana muda wote ukizidi sana ni masaa mawili matatu zingatia masaa mengine unafanya nn,

Cha kufanya kwanza asijue umeharibu na pia usimuoneshe kama umekutana na style ya 'trump kasusa kutoa ARV' na Wala usimuoneshe kama kitandani hajui mbinu za kimedani.

Jipange kumhudumia mtanga mwambie saiv huna uvumilivu wa kulala kwenye box πŸ˜‚mdanganye mpaka azeeke

Tafuta single mama flani ya kukatia kiu hakikisha ukienda unaingia full booster unamaliza shida zote ukirudi unamzuga zuga mke wako na kimoja Cha afya mnalala
 
hii ya kusema kuwa mshirikishe Mungu ndo inawafanya vijana wa kikristo wachelewe kuoa , na wengine wanazeekea kanisan bila kuolewa , kumshirikisha Mungu ni general term huwa mnaleta confusion kwa vijana wanabaki kutapa tapa tuu na criteria ambazo hazieleweki , wengine kuishia kuzalishwa na wengine kupiga mimba mtaani ..!!! ukiamua kuoa oa hakuna formula ya ndoa na hakuna mwalimu wa ndoa hzo zingine ni bla bla , ni mhimu kujua atttitude yako na yake kama vinaendana na mnaelewana unalianzisha , by any means hata ufanyeje matatizo mtakumbana nayo tuu hyo ni given na mwanamke ni unpredictable by nature leo atakupenda mpak atatoa na machozi kesho utashangaa hatak hata umguse , as man lazima uwe tayar kuyakabili yakikushinda to the point of no return mnagawana mbao maisha yanaendelea msije chomana visu bure
 
Ni kweli.
Hivi mtu upo nae mda wote, mara mkumbatiane, mnalala pamoja, mnahemeana, mnakulana, anatoka kuoga anajifuta unaona kila kitu sasa mzuka wa kumshindilia utatoka wapi?
 
Hivi mtu upo nae mda wote, mara mkumbatiane, mnalala pamoja, mnahemeana, mnakulana, anatoka kuoga anajifuta unaona kila kitu sasa mzuka wa kumshindilia utatoka wapi?
Ndio maana nikasema ndoa sio sex peke yake. Na msipokuwa na urafiki kati yenu basi hakuna lingine la maana mtakalofanya zaidi ya kuboana tu
 
Hili linanitokea sana mimi. Huyu kenge nimedhamiria kuachana naye kwa style ya kwenda nje masomoni. Fuckeeen kabisa!
Vijana mnateseka sana shida ni nini? Mi najua wanawakw hawana shida bali ni nyinyi.

Mnachukulia maisha poa sana. Mkishaingia ndio mnagundua mambo hayako vile mlivyokuwa mnafikiria. Mnaanza kulaumu wanawake.
 
kuoa nikama kumkumbatia nyuki kuna mda utapata asali ila akibadilika utakula nchale.
 
Ni kweli wake zetu mara nyingine tunaweza kuona kama ni bure kabisa lakini hicho kimchepuko chako amini nakwambia kitakuharibu mazima,
Vinakuwaga hivyo vikiwa nje ya ulingo (kwamba kanajali kuliko mke)

Jirekebishe umrekebishe na mkeo vinginevyo acha zinaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…