Sijawahi kuwa na WalletHabari wakuu.
Leo mida ya mchana hivi nilikuwa om ,nikasema nitoke kiaina nikawacheki wana kijuweni, si unajua wana wa kitaa kuonana mpaka wikiendi,so nikapita ATM π§ Nikatoa kama laki 2 hivi nikatia kwa walet mfuko wa suruali ya jeans tena wa nyuma nikasema nipite kwa wana pale ,kijiwe nongwa , niwape hai ,nikawakuta wanawangu wawili kwenye bench, walivyoniona ,salam shangwe kama zote ,
Si nikaa pale mwanangu, kwenye lile bench ,aiser tukapiga story pale wee ,nikasema nisepe, nikaamka kwenda dukani kununua mazaga ya om kufika dukani pale ,kuingiza mkono mfukoni walet haipo,nakahisi pale nilipokuwa nimekaa na wanangu kwenye lile bench itakuwa imendondoka pale nikarudi pale kama umeme kufika pale wanangu hawapo !,
Nimewapigia simu kuwauliza simu zao zote wawili hawapatikani πͺπͺπͺ niliwatafuta mno baada niliwapata na niliwakuta ,wapo sehemu wanakunywa na shangwa juu !sikutaka hata kusemesha maan hawakuniona pale niliondoka kinyoge sana ila sitokuja kuweka pesa kwa walet never
Wallet nayo kuiweka mfumo wa nyuma ni changamoto nzito wallet ikiwa na pesa uweke mfuko wa mbeleTatizo sio wallet tatizo hao wana wako ni masnicht
Wallet miyeyusho kama Mimi niliachana nayo kitambo nikiweka Hela maybe iwe Hela mbuziKuna mwana nafanya nae kazi siku kapata mpunga wake kaenda ATM kautoa vizuri kabisa kawasha boda yake vrrrr mpaka town, ile anaenda atoe alipie alichotaka kununua anakuta empty pockets wallet ishayeyuka. WALLET JAU SANA!
Mpaka yakukute ndo ujue tunaishi kimazoeaUkiweka laki 2 kwenye wallet si itakuwa imetuna sana...
Anyway siku nyingine jifunze kuhifadhi pesa kwa kuzitawanya sehemu tofauti tofauti...
Ukivaa jeans, weka mifuko ya mbele haswa kile kipocket kidogo...
Oyaaaa unaweza ganda kwa pressureKuna mwana nafanya nae kazi siku kapata mpunga wake kaenda ATM kautoa vizuri kabisa kawasha boda yake vrrrr mpaka town, ile anaenda atoe alipie alichotaka kununua anakuta empty pockets wallet ishayeyuka. WALLET JAU SANA!
Hao sio wanao , wana hawawezi kufanya hivyoMazoea na waliochukua wanangu haswa ndo kimeniumiza