hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 54,381
- 80,393
Sindio 😄😄Hahahhaa ufe nalo
Kuliko kuliweka mgongoni likafunguliwa zipp bila ya Mimi kujua
Sindio 😄😄Hahahhaa ufe nalo
mkuu unayajua vizuri maumivu ya kupuliza uji bila kitafunwa siku 20 kwa mwendo wa siku za shuleni...? hayaelezeki mkuuMkuu maumivu yalikuwaje ,mie najua mpak aliyeokota ni wanangu toka nitoke
Kwanini umezoeana na wezi?Habari wakuu.
Leo mida ya mchana hivi nilikuwa om ,nikasema nitoke kiaina nikawacheki wana kijuweni, si unajua wana wa kitaa kuonana mpaka wikiendi,so nikapita ATM 🏧 Nikatoa kama laki 2 hivi nikatia kwa walet mfuko wa suruali ya jeans tena wa nyuma nikasema nipite kwa wana pale ,kijiwe nongwa , niwape hai ,nikawakuta wanawangu wawili kwenye bench, walivyoniona ,salam shangwe kama zote ,
Si nikaa pale mwanangu, kwenye lile bench ,aiser tukapiga story pale wee ,nikasema nisepe, nikaamka kwenda dukani kununua mazaga ya om kufika dukani pale ,kuingiza mkono mfukoni walet haipo,nakahisi pale nilipokuwa nimekaa na wanangu kwenye lile bench itakuwa imendondoka pale nikarudi pale kama umeme kufika pale wanangu hawapo !,
Nimewapigia simu kuwauliza simu zao zote wawili hawapatikani 😪😪😪 niliwatafuta mno baada niliwapata na niliwakuta ,wapo sehemu wanakunywa na shangwa juu !sikutaka hata kusemesha maan hawakuniona pale niliondoka kinyoge sana ila sitokuja kuweka pesa kwa walet never
Wimbo wa Benja wa abo jambo.Umenitoka kdogoAiser tena nimewapiga tafu mno mkuu kama huyo mmoja katoka mkoani mm ndo nilimpokea nikampa na michongo town lakini aiser Acha tu yy si wa kunifanyia hivi
wewe kukabwa ni rahisi sana, kubeba begi kifuani automatically tu watu wanajua huu ulinzi mkubwa lazima kuna mzigoi nikibebaga pesa nyingi Kwa mfano nilikuwa Nina desturi nikiwa. A pesa nyingi kiasi naziweka kwenye bag but Hilo begi lazima nilivalie kufuani yaani silibebei mgongoni hata siku Moja 😄😁
hapo wamezingua kinoma, bora wangekusanua uwape hata ya sodaHahahhaha maisha haya watu si watu alafu kinachoniuma ni wanangu 😪😪😪😪
Naomba uzi ufungwe kwenye comment kuanzia hapa"Nionyeshe rafiki zako nikwambie tabia zako"
Hapo wana hawana shida.Tatizo sio wallet tatizo hao wana wako ni masnicht
Hamna weweee watu wanajua Mimi dent 😁wewe kukabwa ni rahisi sana, kubeba begi kifuani automatically tu watu wanajua huu ulinzi mkubwa lazima kuna mzigo
sindioWapite na shingo
PoleMkuu siwahi potezq pesa kiasi hicho ila namuachia mungu