Najuta kutembea na wallet! Sitorudia kuweka pesa kwa wallet kamwe!

Nimejifunza pakubwa mno mie nimempa connection kila kona na nimemfuata after tukio but amekataa siyo wao dah😓😓😓
Ulikuwa bado hawajui binaadamu vyema 😄

Pole
 
Kwa hiyo ukarudi 'om' bila kununua mazaga..pole
Watakula nini alafu ndo ilikuwepo hiyo hiyo oyaaa Acha tu alafu aliyechukua wanangu tena haswa mjini wanakuja wamenicheki mm na nimewapa connection za mishe na mpaka wapo wanajitegemea nimekesha na mawazo
 
nilipokuwa o level bro wangu siku anayomaliza form 4 akaniachia na wallet yake, nilikuwa form one...

nikaja kupigwa kitita cha shilingi elfu 3 na wallet nikaachiwa niendelee kudeposit pesa nyingine

tangu siku hiyo nililaani vikali matumizi ya wallet, kwanza niliitupa kabisa.

elfu 3 kwa kipindi hicho ukii-convert kwenda O-level currency ni kama laki moja ya Mtaani currency.. ni uhakika wa kunywa uji na vitafunwa siku 15
 
nilipokuwa o level bro wangu siku anayomaliza form 4 akaniachia na wallet yake, nilikuwa form one...

nikaja kupigwa kitita cha shilingi elfu 3 na wallet nikaachiwa niendelee kudeposit nyingine

tangu siku hiyo nililaani matumizi ya wallet, kwanza niliitupa kabisa.

🤣
 
Mkuu maumivu yalikuwaje ,mie najua mpak aliyeokota ni wanangu toka nitoke
 
Ni bora upoteze hela kuliko vitambulisho na kadi za bank..
Uzuri vitambulisho huwa sipendi kutembea navyo ndo nashukuru ni ATM CARD TU NILIKUWA NAYO VINGINE NI COPY
 
Mimi nikibebaga pesa nyingi Kwa mfano nilikuwa Nina desturi nikiwa. A pesa nyingi kiasi naziweka kwenye bag but Hilo begi lazima nilivalie kufuani yaani silibebei mgongoni hata siku Moja 😄😁
 
Hahahhaa ufe nalo
 
Back
Top Bottom