usiwakate we ishi nao kinafiki hivyohivyo as long as wameshaonesha mioyo yao ilivyoNimejifunza nawakata kuanzia now
Don't trust anyone.Acha hizo
Halafu ukishapoteza Tu,ndo vinaanza kuhitajika🙌🙌🙌🙌🙌Ni bora upoteze hela kuliko vitambulisho na kadi za bank..

Sory hivi ulikula mchana wa leo?Habari wakuu.
Leo mida ya mchana hivi nilikuwa om ,nikasema nitoke kiaina nikawacheki wana kijuweni, si unajua wana wa kitaa kuonana mpaka wikiendi,so nikapita ATM 🏧 Nikatoa kama laki 2 hivi nikatia kwa walet mfuko wa suruali ya jeans tena wa nyuma nikasema nipite kwa wana pale ,kijiwe nongwa , niwape hai ,nikawakuta wanawangu wawili kwenye bench, walivyoniona ,salam shangwe kama zote ,
Si nikaa pale mwanangu, kwenye lile bench ,aiser tukapiga story pale wee ,nikasema nisepe, nikaamka kwenda dukani kununua mazaga ya om kufika dukani pale ,kuingiza mkono mfukoni walet haipo,nakahisi pale nilipokuwa nimekaa na wanangu kwenye lile bench itakuwa imendondoka pale nikarudi pale kama umeme kufika pale wanangu hawapo !,
Nimewapigia simu kuwauliza simu zao zote wawili hawapatikani 😪😪😪 niliwatafuta mno baada niliwapata na niliwakuta ,wapo sehemu wanakunywa na shangwa juu !sikutaka hata kusemesha maan hawakuniona pale niliondoka kinyoge sana ila sitokuja kuweka pesa kwa walet never
Na siku 20 za shule ni ndefu kama miezi mitatumkuu unayajua vizuri maumivu ya kupuliza uji bila kitafunwa siku 20 kwa mwendo wa siku za shuleni...? hayaelezeki mkuu
Home 😁😁Kwani hiyo 'om' ana maanisha nini?
Mimi nilikuwa nasoma day nilipofika form three nikahamishiwa boarding. Nimefika bwenini na ushamba wangu naweka hela kwenye tranka na funguo naweka chini ya mto. Siku moja narudi tranka limefunguliwa wamenibebea elfu hamsini yangu kama ilivyo. Niliteseka ule muhula sitasahau, ukichanganya na ugeni sina hata rafiki hali ilikuwa mbaya zaidinilipokuwa o level bro wangu siku anayomaliza form 4 akaniachia na wallet yake, nilikuwa form one...
nikaja kupigwa kitita cha shilingi elfu 3 na wallet nikaachiwa niendelee kudeposit pesa nyingine
tangu siku hiyo nililaani vikali matumizi ya wallet, kwanza niliitupa kabisa.
elfu 3 kwa kipindi hicho ukii-convert kwenda O-level currency ni kama laki moja ya Mtaani currency.. ni uhakika wa kunywa uji na vitafunwa siku 15
nyingi mnoo, mbaya zaidi huna hela aah ni balaaNa siku 20 za shule ni ndefu kama miezi mitatu
dah boarding kwa moto, shuleni kwetu sijui watu walikuwa wananusa hela? hata ukiweka hela kukiwa giza tiii ukaificha chini kabisa ya tranka ukaibana na nguo, still unakuta siku ya pili hela imeibwa, jumlisha huo ugeni i feel you huo mwezi ulivyokuwaMimi nilikuwa nasoma day nilipofika form three nikahamishiwa boarding. Nimefika bwenini na ushamba wangu naweka hela kwenye tranka na funguo naweka chini ya mto. Siku moja narudi tranka limefunguliwa wamenibebea elfu hamsini yangu kama ilivyo. Niliteseka ule muhula sitasahau, ukichanganya na ugeni sina hata rafiki hali ilikuwa mbaya zaidi