Najuta kuwekeza kwenye kiwanja na nyumba ya mwanamke

Mkuu ni mjinga tu ndo anae achana na mali yake mapema pambana upate haki yako, una watoto wa ngapi nae?
 
Kula matunda ya ujinga wako.
 
Kama hakuna andiko litakalo-support hiki ulichoandika basi NDOA ITABAKI KUWA NI UTAPELI MKUBWA SANA....Kwa maana huwezi kusema kwamba kumtawala mwanamke yakupasa mwanaume kuwa na pesa,,vipi kwa wanaume wenye uchumi wa chini? [emoji848]
Ndo shuruba hizo mkuu, mwanamke havumilii penye dhiki...utaambulia dharau tu
 
Mwanamke ni nyoko kwenye Mali🤣🤣🤣
 
Ila mimi hakifikia hatua ya kunifukuza kwa nguvu tutagawana majengo ya serikali. Hapa ninaondoka ila sio kwa kuniforce na naondoka kwa sababu anaona nategemea kuishi kwenye nyumba yake kana kwamba mi sina uwezo wa kwenda kupanga chumba.

Maana nimehamia hapa baada ya yeye kuforce nitoke kwenye kupanga ila sikua na mpango napo japo nimechangia kujenga hapa ilikua plan iwe nyumba ya wapangaji sasa nashangaa saa hivi ananiletea ubinafsi wa juu sana
 
Kabisa, wachache Sana wenye Moyo wa imani., Basi Yule kijana kaondoka sijasikia vurugu Tena, akiwepo akiwa anafukuzwa atulali, mpaka aondoke anavyobembeleza, mpaka ma house girl wa mle ndani wanamzarau, utasikia mpaka dada,
🤣🤣Kama mazuri vile
 
Ukitaka kumtawala mwanamke unatakiwa uwe na pesa ya kuweza kumwambia ondoka kwangu, au Rudi kwangu....la sivyo u fail. Always mwanamke ni mbinafsi sana


Inasikitisha,baadhi huwaga wanajitahidi kuonesha kuwa ni wa tofauti ila mwisho fikra zenu ni hizi.….

Heri wanaojionesha wakaidi tangu mwanzo, madogo wa kataa ndoa kama wana make sense.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…