Najuta kuwekeza kwenye kiwanja na nyumba ya mwanamke

Najuta kuwekeza kwenye kiwanja na nyumba ya mwanamke

Mkuu kiwanja aliandika jina lake maana yeye ndo alikopa hela ya kununua mimi nimechangia kwenye ujenzi lakini leo hii ananiambia sijachangia chochote hela yote ya kodi za wapangaji anakula pekeake so sitaki kuforce umiliki ila inaniuma tu pesa zangu nlizotupa hapa bora ningeenda kutafuta kiwanja changu hata kijijini huko
We ni mjinga iwapo umejenga nyumba hiyo ukijua no ya kwake na hamjajenga nyumna yoyote kwa pamoja au ya kwako.

Mimi nimeoa mke wa pili nikamwambia anunue kiwanja na ajenge boma mimi nitamalizia akafanya hivyo na mimi namalizia anakaa na watoto wake na kwa security yake na watoto wake.

Tumeweka makubaliano nyumba alizonikuya nazo na mke mkubwa hazimhusu basi mambo yanasonga na hati zote ninazo mimi.

Mwisho tumeweka mou kuwa naweka nguvu zangu kwenye nyumba hiyo yenye jina lake kwa faida yetu sote na haiuzwi na mmoja wetu
 
Nliamua kuchangia kwa kuona tuna watoto na pia tumefunga ndoa ila nashangaa mwenzangu kaleta ubinafsi wa hali ya juu.
Kwani ndoa ni nini siujinga tu tulioambukizwa na washenzi wakizungu mbona mbwa hafingi ndoa na anazaa na kula maisha.

Swala lililiokupelekes kuoa ni sex kwani umekosa kwingine
 
Mdanganye...

Nyumba haina jina lake....

It is not worth it.

Atakuja kuuliwa bure....

Mwache akaanze upya!...
Mkuu mimi sina muda wa kuforce kumiliki nyumba ila naumia tu kutothamini mchango wangu wa kuimalizia hii nyumba naona nimepoteza hela zangu bure bora tangu mwanzo hizo hela ningefanyia kitu kingine binafsi
 
Back
Top Bottom