Utaula wa chuya
JF-Expert Member
- Sep 19, 2022
- 495
- 1,344
Ndio mkuu ndoa ni wiziKwahoyo mkuu ndoa na wa uza unga ni kundi moja?
Ndoa ni sawa na matapeli ccm
Ndoa ni vita
Ndoa ni msitu wenye vibwengo na wanyama wakali
Ndoa ni ugaidi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio mkuu ndoa ni wiziKwahoyo mkuu ndoa na wa uza unga ni kundi moja?
Mwanamke mwanajeshi pngwe mwanaume anaendesha bajaji, mwanaume islam, Yule dada anakula kitimoto, anapika pale pale, Kaka zangu tafuteni pesaaa, natamani niongee nao Ila nitaonekana naingilia Mambo yao, na wafatilia yaaani.Huu si ubinadamu, huwezi mfungia mwenzako nje kisa nyumba ni yako, hii tabia ni za akili za kimaskini. Katika maisha yangu, sitaki dhulma kabisa. Kama umechangia kwenye mali hata kama ni nyumba, chako utakipata. Yaani tungejua kama utu ni zaidi ya mali hakuna binadamu angemfanyia mwenzake ubaya. Kwa ushauri tu, ni vyema kila mtu awe na umiliki wa mali yake, kama mmeamua kuwa na mali ya pamoja iwe kwa maandishi. Hakuna kumuamini mtu siku hizi maana nafsi zimakuwa mawe
Aisee..hii ni kweli kabisa! Utasikia anasema..Wanawake wote huamini wanaume tunakufa mapema kabla yao
Huu ni unyanyasaji, kwa nini aliolewa sasaMwanamke mwanajeshi pngwe mwanaume anaendesha bajaji, mwanaume islam, Yule dada anakula kitimoto, anapika pale pale, Kaka zangu tafuteni pesaaa, natamani niongee nao Ila nitaonekana naingilia Mambo yao, na wafatilia yaaani.
🤣🤣Karibu sanaUmeongea ukweli. Kuanzia leo hii tar. 9 March 2023, naanza rasmi kukuheshimu.
Ni majinga. Na ndiyo hayo yakiona unazeeka huku unanawiri yanashikwa na wivu yanaanza kuiwinda roho yako ili ufe kwa lazima.Wanawake wote huamini wanaume tunakufa mapema kabla yao
Dawa ni mwanaume naye awe nyoko tu kama bro wangu!Mwanamke ni nyoko kwenye Mali[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ndo imani yao inavyowatumaAisee..hii ni kweli kabisa! Utasikia anasema..
"Kesho umeodoka ghafla,sasa itakuwaje" yeye anajiona hawezi kuondoka ghafla kabla yangu.
Huu upumbavu wa ndoa unasababisha wanaume wengi wanaishi kama wapangaji kwenye hii dunia yetu nzuri.Mwanamme hupaswi kugombania mali na mwanamke. Kwanza mshukuru huyo mwanamke ana akili ya kujenga watoto wako wanakaa pazuri na hakuombi hela ya kodi.
Hupaswi kuwa inferior eti kisa mwanamke kakopa hela kajenga nyumba ndiyo maana anakunyanyapaa. Wewe timiza majukumu yako kama mwanamme, Na wala usiteteleke.
Kama akizidisha dharau na hakuheshimu, ondoka nenda kaanze upya. Hapo ujue ya kwamba hakutaki na hana mapenzi na wewe ila siyo kwa sababu anamiliki nyumba.
Ukiwa unapambana kivyako utakuwa na amani watoto wako wanalala pazuri na hela ambayo ingelipa kodi kwa ajili ya familia yako kuishi ifanyie maendeleo mdogo mdogo.
Hiyo nyumba ata akiuza watoto wako hawatakufa njaa na pia kama hajauza hiyo nyumba watarithi watoto wako.
Mwanamme hupaswi kugombea mali na mwanamke, ni mwiko. Cha mwanamke ni cha watoto wenu.
Katika mambo ambayo siwezi kufanya ni kuchangia mambo ya maendeleo na mwanamke.Wana MMU,
Naandika huu uzi kwa masikitiko na kujuta bora ile pesa ningenywea tu bia na kula kitimoto.
Nina mke na watoto, mke alikopa hela bank na kazini kwao akanunua uwanja. Ushauri huu nilimpa mimi
Nikasimamia ujenzi nyumba ikasimama ingawa kuna vitu vilikuwa havijakamilika nikaanza kuingia gharama kumalizia nyumba.
Kipato changu cha kuunga unga ila kwa kutambua nyumba ni ya familia tuna watoto na ndoa tumefunga nikaona niendeleze ukarabati.
Sasa bwana umetokea mgogoro mdogo mimi na mke wangu kanitamkia hapa sijachangia chochote kodi yote anakula yeye.
Basi nimeamua nianze mdogo mdogo kujitoa kwenye hii nyumba.
Mchango wangu hajauthamini kabisa mwanamke amekua mbinafsi ghafla sana.
Wakuu tuwe makini kuwekeza hela na muda wako kwenye mali ya mwanamke ni kujichimbia kaburi.
KATAA NDOA
NDOA NI UTAPELI
Haya mambo uliyaandika ndiyo yanafanya ndoa za siku hizi kuwa ngumu sana.Mwanamme hupaswi kugombania mali na mwanamke. Kwanza mshukuru huyo mwanamke ana akili ya kujenga watoto wako wanakaa pazuri na hakuombi hela ya kodi.
Hupaswi kuwa inferior eti kisa mwanamke kakopa hela kajenga nyumba ndiyo maana anakunyanyapaa. Wewe timiza majukumu yako kama mwanamme, Na wala usiteteleke.
Kama akizidisha dharau na hakuheshimu, ondoka nenda kaanze upya. Hapo ujue ya kwamba hakutaki na hana mapenzi na wewe ila siyo kwa sababu anamiliki nyumba.
Ukiwa unapambana kivyako utakuwa na amani watoto wako wanalala pazuri na hela ambayo ingelipa kodi kwa ajili ya familia yako kuishi ifanyie maendeleo mdogo mdogo.
Hiyo nyumba ata akiuza watoto wako hawatakufa njaa na pia kama hajauza hiyo nyumba watarithi watoto wako.
Mwanamme hupaswi kugombea mali na mwanamke, ni mwiko. Cha mwanamke ni cha watoto wenu.
Hapo ndo inakuwa ndoa ndoano😜Dawa ni mwanaume naye awe nyoko tu kama bro wangu!
Wana MMU,
Naandika huu uzi kwa masikitiko na kujuta bora ile pesa ningenywea tu bia na kula kitimoto.
Nina mke na watoto, mke alikopa hela bank na kazini kwao akanunua uwanja. Ushauri huu nilimpa mimi
Nikasimamia ujenzi nyumba ikasimama ingawa kuna vitu vilikuwa havijakamilika nikaanza kuingia gharama kumalizia nyumba.
Kipato changu cha kuunga unga ila kwa kutambua nyumba ni ya familia tuna watoto na ndoa tumefunga nikaona niendeleze ukarabati.
Sasa bwana umetokea mgogoro mdogo mimi na mke wangu kanitamkia hapa sijachangia chochote kodi yote anakula yeye.
Basi nimeamua nianze mdogo mdogo kujitoa kwenye hii nyumba.
Mchango wangu hajauthamini kabisa mwanamke amekua mbinafsi ghafla sana.
Wakuu tuwe makini kuwekeza hela na muda wako kwenye mali ya mwanamke ni kujichimbia kaburi.
KATAA NDOA
NDOA NI UTAPELI
. Aoe asiye na uchumi kabisa, no free lunchKama hakuna andiko litakalo-support hiki ulichoandika basi NDOA ITABAKI KUWA NI UTAPELI MKUBWA SANA....Kwa maana huwezi kusema kwamba kumtawala mwanamke yakupasa mwanaume kuwa na pesa,,vipi kwa wanaume wenye uchumi wa chini? [emoji848]