Najuta kuwekeza kwenye kiwanja na nyumba ya mwanamke

Najuta kuwekeza kwenye kiwanja na nyumba ya mwanamke

Mkuu naona wewe ndo hukujua interpretation halisi ya hilo neno
Screenshot_20230309-130957_Google.jpg
 
Ulikosea mwenyewe toka mwanzo, kosa uliwekeza kwenye uwanja wa mwanamke, kisa chako Kama Cha jirani yangu, mwanaume anafungiwa milango, anafukuzwa usku wa manane, Tena kwa sauti, uwanja wa mwanamke, ye kasapoti kwa kiasi chake Ila ananyanyaswa Sana anaomba msamaha Ila afunguliwi mlango na anaondokaga.
Huu si ubinadamu, huwezi mfungia mwenzako nje kisa nyumba ni yako, hii tabia ni za akili za kimaskini. Katika maisha yangu, sitaki dhulma kabisa. Kama umechangia kwenye mali hata kama ni nyumba, chako utakipata. Yaani tungejua kama utu ni zaidi ya mali hakuna binadamu angemfanyia mwenzake ubaya.

Kwa ushauri tu, ni vyema kila mtu awe na umiliki wa mali yake, kama mmeamua kuwa na mali ya pamoja iwe kwa maandishi. Hakuna kumuamini mtu siku hizi maana nafsi zimakuwa mawe
 
Ila mimi hakifikia hatua ya kunifukuza kwa nguvu tutagawana majengo ya serikali. Hapa ninaondoka ila sio kwa kuniforce na naondoka kwa sababu anaona nategemea kuishi kwenye nyumba yake kana kwamba mi sina uwezo wa kwenda kupanga chumba.

Maana nimehamia hapa baada ya yeye kuforce nitoke kwenye kupanga ila sikua na mpango napo japo nimechangia kujenga hapa ilikua plan iwe nyumba ya wapangaji sasa nashangaa saa hivi ananiletea ubinafsi wa juu sana
We zarau zikizidi nenda mahakamani, Kama vipi pauzwe si umechangia na mmefunga ndoa, Kama mnaishiishi tu pagumu, japo mahakama wanaweza kusema Mali za watoto, Ila kumchemsha tu zarau zinapozidi.
 
Oa wewe inatosha. Tuache unafiki watanzania
Sasa kati ya Mimi na ww nani mnafiki hapa mkuu?

Fatilia hiyo conversation iliyokuwepo kati yangu na huyo jamaa, alaf angalia ni wapi Mimi na yeye tumetoleana lugha kali. Hapo ndio utajiona ulivyo mnafiki, maana umedandia Convo za watu, alaf unajifanya kukunja sura 😅😅
 
Back
Top Bottom