Najuta kuwekeza kwenye kiwanja na nyumba ya mwanamke

Najuta kuwekeza kwenye kiwanja na nyumba ya mwanamke

We zarau zikizidi nenda mahakamani, Kama vipi pauzwe si umechangia na mmefunga ndoa, Kama mnaishiishi tu pagumu, japo mahakama wanaweza kusema Mali za watoto, Ila kumchemsha tu zarau zinapozidi.
Hapa umenena vyema. Cheti halali cha ndoa kipo na mimi namwangalia tu nikiamua kufuata taratibu za kisheria patachimbika ila coz tuna watoto nitaondoka kistaarabu nimwachie nyumba akae na madogo wanapokuja likizo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakikisha hili suala linaishia mahakamani..Ukisema kirahisi tu unamuachia nyumba atakuja baba mwingine atamshawishi watoto awalete kwako hili astarehe vizuri na mke wako kwenye nyumba uliyojenga kwa jasho lako,,

Fanya yote ila hakikisha kwamba mahakama inatoa statement ya kugawana mali hapo sasa ndio uamuzi wako wa kusema unamuachia nyumba akae na watoto utake place!!
 
Mwanamme hupaswi kugombania mali na mwanamke. Kwanza mshukuru huyo mwanamke ana akili ya kujenga watoto wako wanakaa pazuri na hakuombi hela ya kodi.

Hupaswi kuwa inferior eti kisa mwanamke kakopa hela kajenga nyumba ndiyo maana anakunyanyapaa. Wewe timiza majukumu yako kama mwanamme, Na wala usiteteleke.

Kama akizidisha dharau na hakuheshimu, ondoka nenda kaanze upya. Hapo ujue ya kwamba hakutaki na hana mapenzi na wewe ila siyo kwa sababu anamiliki nyumba.

Ukiwa unapambana kivyako utakuwa na amani watoto wako wanalala pazuri na hela ambayo ingelipa kodi kwa ajili ya familia yako kuishi ifanyie maendeleo mdogo mdogo.

Hiyo nyumba ata akiuza watoto wako hawatakufa njaa na pia kama hajauza hiyo nyumba watarithi watoto wako.

Mwanamme hupaswi kugombea mali na mwanamke, ni mwiko. Cha mwanamke ni cha watoto wenu.
Hovyo sana wewe.
 
Hakikisha hili suala linaishia mahakamani..Ukisema kirahisi tu unamuachia nyumba atakuja baba mwingine atamshawishi watoto awalete kwako hili astarehe vizuri na mke wako kwenye nyumba uliyojenga kwa jasho lako,,

Fanya yote ila hakikisha kwamba mahakama inatoa statement ya kugawana mali hapo sasa ndio uamuzi wako wa kusema unamuachia nyumba akae na watoto utake place!!

He he he, kasign mkopo, ana ushahidi, kanunua kiwanja kwa shida, kajenga, jamaa limekuja jazia rip, mahakama ipi kama sio kujizalilisha?
 
. Aoe asiye na uchumi kabisa, no free lunch
Umeambiwa uishi na mwanamke kwa akili.

"Mali ya mwanamke ni yake ila mali yako ni ya wote". Hutakiwi kuchangia maendeleo yoyote na mwanamke.
Mwanamke akikuambia tuchangie pesa tununue kiwanja kataa kwa herufi kubwa hata kama mna watoto 5 naye.

Bora ukope pesa ununue kiwanja.
Kuna wale mabraza men, wanaoenda kuishi kwa mwanamke na kutoa hela ya pango. Utadharaulika siku moja.
Unapoishi na mwanamke hakikisha vitu vyote umenunua wewe na listi ina majina yako.

Unaishi na mwanamke kwasababu una uwezo wa kumhudumia si vingevyo
 
Unafikiri unajua sana, ila kuna wanaojua zaidi, unajua hata kama una ndoa, kuna kipengele cha sheria kinaruhusu kuwa na mali yako endapo wakati unanunua uli declare kwa maandishi kwamba ni chako binafsi?
Ndoa maana yake wote wawili meaminiana na mnapendana ndip maana meamua muishi wote wawili.

Sasa kila mtu awe na mali yake binafsi halafu bado mpo kwenye ndoa ndiyo utapeli wenyewe huo.

Ndoa ni utapeli. Ukizubaa kwenye ndoa mwanamke au mwanaume anaweza kumtapeli mwenzake.
 
Back
Top Bottom