Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😍😍😍
Jana tu nimetoka kulala na mke wa mtu. Ameniahidi atanizalia watoto wawili.Utajua mwenyewe, utaamua unaiangalia ndoa katika angle ipi.
Watoto watatu tangu tuanze mahusiano ni miaka 11 sasa na kwenye ndoa ni mwaka wa 4 ila mwaka jana mwishoni ndo bundi kapitaUmezaa naye watoto wangapi, na una miaka mingapi mko kwenye ndoa?
Msiachane, huo ni upepo tu umepita; unaweza kutafuta part time/mchepuko wa kukuweka bize pale mtakapo tofautiana na mwenzio, ila usivinje ndoa.Watoto watatu tangu tuanze mahusiano ni miaka 11 sasa na kwenye ndoa ni mwaka wa 4 ila mwaka jana mwishoni ndo bundi kapita
Sent using Jamii Forums mobile app
Jana tu nimetoka kulala na mke wa mtu. Ameniahidi atanizalia watoto wawili.
Amesema madhaifu mengi sana ya mumewe.
Kama mwanamke ameolewa na anagongwa nje, kuna haja gani ya kuoa?
Kama hakuna andiko litakalo-support hiki ulichoandika basi NDOA ITABAKI KUWA NI UTAPELI MKUBWA SANA....Kwa maana huwezi kusema kwamba kumtawala mwanamke yakupasa mwanaume kuwa na pesa,,vipi kwa wanaume wenye uchumi wa chini? [emoji848]
Usikatae ndoa bali ishi nao kwa akili sana...Wana MMU,
Naandika huu uzi kwa masikitiko na kujuta bora ile pesa ningenywea tu bia na kula kitimoto.
Nina mke na watoto, mke alikopa hela bank na kazini kwao akanunua uwanja. Ushauri huu nilimpa mimi
Nikasimamia ujenzi nyumba ikasimama ingawa kuna vitu vilikuwa havijakamilika nikaanza kuingia gharama kumalizia nyumba.
Kipato changu cha kuunga unga ila kwa kutambua nyumba ni ya familia tuna watoto na ndoa tumefunga nikaona niendeleze ukarabati.
Sasa bwana umetokea mgogoro mdogo mimi na mke wangu kanitamkia hapa sijachangia chochote kodi yote anakula yeye.
Basi nimeamua nianze mdogo mdogo kujitoa kwenye hii nyumba.
Mchango wangu hajauthamini kabisa mwanamke amekua mbinafsi ghafla sana.
Wakuu tuwe makini kuwekeza hela na muda wako kwenye mali ya mwanamke ni kujichimbia kaburi.
KATAA NDOA
NDOA NI UTAPELI
Mbona comment imesha-represent mtoa comment ni wa upande gani [emoji2][emoji3]Hapo ungama na [mention]dronedrake [/mention] [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Kama ni mke halali kisheria na unataka kuchomoka na kumkomoa, nenda mahakamani omba divorce na mgawanyo wa mali zote, acha kulia lia
Uko sahihi sana,JF imenifanya kuwa stable sana kwenye mahusiano yangu,mwanzoni nilijua yaliyokuwa yananikuta mimi nilidhani niko peke yangu,ila nimegundua majority ya wanaume wana maumivuTatizo lenu mnapuuzia nyuzi za wa dau humu JF, mpaka likukute ndo ushtuke, mwanamke sio mwenzio hata uzae naye watoto 10. Watu wamepitia mengi mpaka kuandika nyuzi humu.
Nimepata fundisho mi kama itokojr........
Sasa naitafsiri ndoa kama UTAPELI
Wanaume siku hizi mnadeka kuliko wanawake
Utakua mtoto wa mwisho AKA janga la Taifa