Najuta kuwekeza kwenye kiwanja na nyumba ya mwanamke

Wana MMU,

Naandika huu uzi kwa masikitiko na kujuta bora ile pesa ningenywea tu bia na kula kitimoto.

Nina mke na watoto, mke alikopa hela bank na kazini kwao akanunua uwanja. Ushauri huu nilimpa mimi

Nikasimamia ujenzi nyumba ikasimama ingawa kuna vitu vilikuwa havijakamilika nikaanza kuingia gharama kumalizia nyumba.

Kipato changu cha kuunga unga ila kwa kutambua nyumba ni ya familia tuna watoto na ndoa tumefunga nikaona niendeleze ukarabati.

Sasa bwana umetokea mgogoro mdogo mimi na mke wangu kanitamkia hapa sijachangia chochote kodi yote anakula yeye.

Basi nimeamua nianze mdogo mdogo kujitoa kwenye hii nyumba.

Mchango wangu hajauthamini kabisa mwanamke amekua mbinafsi ghafla sana.

Wakuu tuwe makini kuwekeza hela na muda wako kwenye mali ya mwanamke ni kujichimbia kaburi.

KATAA NDOA
NDOA NI UTAPELI
[emoji1787][emoji1787]
JamiiForums1397039397.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kipindi nnanunua eneo la kujenga mzee aliandika jina lake baada ya langu
Siku naenda kufata ile hati ya mauziano nakuta jina lake...nkasema tu ah mzee aje au alisahau ...anyway nkapotezea zangu

Ila sasahiv naelewa Na pengine service zote nkatumia majina yake...

Unapotaka kuowa mkuu make sure una kitu mkononi na unajiweza kidogo kiuchumi
Kitu pekee nnachoweza kukuambia mkuu ni hiki

Asikudanganye mtu eti kuna mwanamke atakupenda wewe et umekaa tu ndani
Fedha ndio hasa heshima ya mwanaume
Tafuta fedha jijenge mwenyewe
Wale wanawake wakusema tuowane tutajenga pamoja
Wa mwisho kufanya hivyo alikua ni mama yako pekee
Hawa wengine wanataka uwe na kitu
Well ntazingatia sana mkuu staki kuja kujilaumu in the future ooh wanawake wabaya kumbe ngejifunza tu kama ivi na kutake action (kukaa nao chonjo) at the end of the time nkaisha good life with no stress....
 
IMG_8568.jpg

Good
Tazama hiyo[emoji1369]
Huyu alieandika ni mwanamke [emoji16]
Yuko sawa kwa 100% ,japo maneno yake yanaweza kua yanachoma ila ndio ukweli

Thus me sijawah kufikilia kuowa mwanamke mwenye fedha au anaejiweza
Pengine IKAPUNGUZA ng’ong’oso

Make sure una kibunda+ maendelea

A place to call home

2 USITUMIE HISIA!
3TUMIA AKILI.
 
View attachment 2543623

Kwahiyo wewe Inatimia Nini?🤭
 
Nimekupata Mr.kelphin i will keep it back of my mind... najua itanisaidia one day
 
Mkuu kiwanja aliandika jina lake maana yeye ndo alikopa hela ya kununua mimi nimechangia kwenye ujenzi lakini leo hii ananiambia sijachangia chochote hela yote ya kodi za wapangaji anakula pekeake so sitaki kuforce umiliki ila inaniuma tu pesa zangu nlizotupa hapa bora ningeenda kutafuta kiwanja changu hata kijijini huko
Wewe na mke wako hamkai pamoja?
 
Wana MMU,

Naandika huu uzi kwa masikitiko na kujuta bora ile pesa ningenywea tu bia na kula kitimoto.

Nina mke na watoto, mke alikopa hela bank na kazini kwao akanunua uwanja. Ushauri huu nilimpa mimi

Nikasimamia ujenzi nyumba ikasimama ingawa kuna vitu vilikuwa havijakamilika nikaanza kuingia gharama kumalizia nyumba.

Kipato changu cha kuunga unga ila kwa kutambua nyumba ni ya familia tuna watoto na ndoa tumefunga nikaona niendeleze ukarabati.

Sasa bwana umetokea mgogoro mdogo mimi na mke wangu kanitamkia hapa sijachangia chochote kodi yote anakula yeye.

Basi nimeamua nianze mdogo mdogo kujitoa kwenye hii nyumba.

Mchango wangu hajauthamini kabisa mwanamke amekua mbinafsi ghafla sana.

Wakuu tuwe makini kuwekeza hela na muda wako kwenye mali ya mwanamke ni kujichimbia kaburi.

KATAA NDOA
NDOA NI UTAPELI
Duuuh
 
Unawambia wenzio wakatae ndoa wakati wewe unayo ndoa na umo humo humo haujatoka, washauri kuwa wachaguane vizuri kama wewe ulikosea pole wewe usiwatishe wengine tafuta ukuta uegemee [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom