uttoh2002
JF-Expert Member
- Feb 3, 2012
- 17,060
- 32,400
Ndoa maana yake wote wawili meaminiana na mnapendana ndip maana meamua muishi wote wawili.
Sasa kila mtu awe na mali yake binafsi halafu bado mpo kwenye ndoa ndiyo utapeli wenyewe huo.
Ndoa ni utapeli. Ukizubaa kwenye ndoa mwanamke au mwanaume anaweza kumtapeli mwenzake.
Utajua mwenyewe, utaamua unaiangalia ndoa katika angle ipi.