Najuta kuzaliwa kwenye familia ya kilokole

Preachers kids,
Hauko peke yako watoto wengi wa watumishi wameharibikiwa.
 
Eti Mimi ni muhuni mwenye akil. Kijana tubu! Hiyo neema unayoiona ni kwasababu ya ulokole wa baba yako ni utaijutia kama utatubu!
2 wafalme : Mlango 8
19 Walakini BWANA hakupenda kuiharibu Yuda, kwa ajili ya Daudi mtumishi wake, kama alivyomwahidia akasema, kuwa atampa taa, yeye na wazao wake siku zote.
 
Safii sana nahisi nakuona
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…