Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bado unanipiga chenga.Tafuta furaha yako mwenyewe
Mimi pombe ndo inaniba sababu ya kuishi..kwa sasa. Japo hapo awali sikuwahi kuwaga mlevi
Mimi nilimkataa mungu nikiwa form two. Wakasema nitakuwa masikini, sinta faulu, nitapata magonjwa....
Lkn naona nazidi kwenda juuuuuu
Faza usinilaani maana hata wazee wangu hawajawahi Fanya hivyowewe mwana mpotevu usijitie shababi sana kuleta kufuru zako kwa wazazi, baba yako knows the best wewe unadhani kuwa na mali za dunia nakufanikiwa ndo umemaliza!? your father anataka roho yako isalimike sio mwili! nakuhakikishia dunia itakupiga utaikumbuka familia hii ya kilokole unayoijuta kuwa nayo
Mimi nawajua walokole ni watu wa na wewe kuandika kujuta kuwa na familia yakilokole ni sawa umetukana ulokole..sasa mimi nimeshasema utarudi home kwenu siku moja na kukiri kuwa ulipotea..ila isije kuwa too late kwako ukakosa hata nafasi hiyo..sijawahi sema ambalo halijawahi kutokea..subiriFaza usinilaani maana hata wazee wangu hawajawahi Fanya hivyo
Ubarikiwe sana nabii Tito kwa maono yakomimi nawajua walokole ni watu wa na wewe kuandika kujuta kuwa na familia yakilokole ni sawa umetukana ulokole..sasa mimi nimeshasema utarudi home kwenu siku moja na kukiri kuwa ulipotea..ila isije kuwa too late kwako ukakosa hata nafasi hiyo..sijawahi sema ambalo halijawahi kutokea..subiri
Mimi hapa nakaziaRoho itapotea wapi?
Bado unanipiga chenga.
Sijamalizana na wewe...kazi niliyopewa na Mungu kwako sijaimaliza.
Mbona sijaona sehemu alipowakosea heshima?unataka kuishi miaka mingi heshimu wazazi
Walokole huwa wana mambo ya ajabu,Mimi nilimkataa mungu nikiwa form two. Wakasema nitakuwa masikini, sinta faulu, nitapata magonjwa....
Lkn naona nazidi kwenda juuuuuu
Una mkwara!uniite tito uniite toti ndo nakuambia kijana..mm kama ndumu nishatumiaga sana kitu cha arusha kabisa ila sijawahi leta mzaha na mambo ya Mungu na kiimani, uliza walioleta kejeli kama zako waliishia wapi!? na ww njia nyeupe hiyo..it is just a matter of time hicho kiburi cha uzima kikitiwa kashkash utamtafuta mpaka mlokole wa tone la mwisho akuombee rehema na usimpate
Mmhh! !Itakufaa nini kupata mali zote duniani lakini roho yako ikapotea....