Najuta kuzaliwa kwenye familia ya kilokole

Sawa..
Sijakukimbia Anne nlpotea kidogo na dunia huku naingia kwa kudokoa
Huu wito unatoka kwa Mungu. .na utakurudisha tu toka huko ulipo.
Japo naona unaamua kuukwepa. . ila hakuna namna unaweza kukwepa.
 
Kweli penye miti hakuna wajenzi,Kuna wanaojuta kuzaliwa na wala ndumu.
Utakuta historia inajirudia,labda huko nyuma
kuna mtu aliishi maisha kama hayo unayoishi.Na wewe utajikuta unazaa mtoto mlokole
utake usitake,ni historia itajirudia tu.
 
Wanawake hata akiwa ni mlokole, kama humgongi vizuri, atagongwa tu nje. Mbona ni kawaida tu wake wa Wachungaji kugongwa na mabaharia? Hata wewe biological father wako ni BAHARIA
 
Ishi utakavyo ila kila uamuzi una matokeo yake.
Fahamu hakuna binadamu ambaye anaweza akajitenga na kushi yeye kama yeye, ipo sku kwa namna moja au nyingine utawahitaji hao unaofikiria unawakomoa.
 
Mimi naona kijana analalamika tu. Hakuna kitu bali full kulalamika. Ukiwa na miaka 13 ukatoka home, tupe maisha baada ya kutoka home, ulienda wapi?

Usije tu ukasema maisha yaliharibika kwa sababu baba mlokole.
 
Mimi ni mtoto wa tatu katika familia ya watoto 6, baada ya Dada na braza me nilifuatia. Faza etu ni pastor wa kanisa Fulani la kilokole na ni mcha mungu katika kweli kabisa ya mungu in short familia nzima ni ya kilokole ya kiimani sana. Katika kulelewa kwetu tumekuzwa katika misingi ya kiimani, kama kawaida ya familia za kilokole zilivyo

Nikiwa std 5 ghafla nilijikuta naichukia mienendo na misingi ya kidini. Ikawa nafosiwa na nguvu ya familia kwenda kanisani, kuabudu na kuhudhuria maombi mbalimbali kwa masimango na kelele za kutosha ingawa moyoni nilkuwa sitaki kabisa. Kila kitu nikawa napingana nacho hapo maskani nikajichukia kwanini nilizaliwa kwenye hii familia. Ulkuwa ni utumwa kwangu niliona kama nipo gerezani. Faza alitumia nguvu kubwa kunirejesha kwenye msingi nisipotee ila wapi. Alijua pengine makundi yananipotosha ila sikuwa hata na rafiki

Nilipoanza kidato cha kwanza niliamini ndo utakuwa mwisho wa shida zote maana ningekua mbali na familia.Faza alizingua nisipelekwe boding kuhofia ningepotea jumla maana dalili zote za kupotea zilishaonekana.basi nikanunuliwa bike ya go and return home hapo ndo wazee waliona sahihi ili wawe karibu na Mimi.nikawachukia wazee wangu Nikaichukia shule na mwisho mwa mwaka wa kwanza nikafanya michakato ya kutoroka ikatiki nikaacha shule nikatambaa home bila kuaga. Niliandika ujumbe mfupi kwa faza kumuaga nikauweka kwenye bible yake niliamini atauona maana ndo kitabu anachokisoma mda wote. Hapo nilkuwa na umri wa miaka 13 tu. Nikatimkia majiji ya watu na kuanza maisha yangu nikiwa huru kabisa

Ilipita miaka 13 bila ya kuwa na mawasiliano na ndugu yeyote. Nishakuwa mtu mzima sasa nimepambana sana kweli nimepitia mengi nimehaso vya kutosha na nimefikia Levo nzuri tu kimaisha. Mapema mwaka huu February nikaamua niende home kwa wazee wangu, nimewakumbuka sana ila kikubwa zaidi kwenda kujenga kajumba ka kufikia. Nilpokelewa home fresh ingawa nilkuta familia imehamia kijiji kingine kwa ajili ya shughuli zake faza za kihubiri maana ni pastor mkubwa tu. Familia ilifrahi kuniona baada ya muongo mzima maana walkuwa wakiniombea miaka yote niwe salama na kweli maombi yalijibiwa.

Raundi hii nilkuwa rafu zaidi kichwani nina dredi mwili mzima umejaa tattoo nilkuwa sifananii na yeyote katika familia hiyo sio kaka wala sista ingawa wana familia zao.madogo kuniita kaka hawawezi naonekana mhuni sana. ilkuwa ni aibu kubwa kwa familia ya pastor kuwa na kijana wa dizaini yangu. Hiyo ndo life style yangu ninavyoishi. Kibaya zaidi kwao napiga dumu ( bangi) faza alinikuta siku moja nikiwa nanyonya moto kuweka akili sawa. Faza alinihusia niachane na mambo ya kidunia niishi katika kweli ya mungu nilimjibu siwezi kuacha hayo maswala ndo maisha yangu na ndo sababu ya Mimi kwenda kuishi mbali nao kuepusha kero. Mzee analia sana akifa atamjibu nini mungu wake juu yangu je shetani amepata ushindi kwenye hii vita? Kila mtu na moyo wake aniachie msalaba wangu nilmjibu hivo

Sifanani siendani wala sichangamani na yeyote katika familia hii ya kilokole najuta kwanini nilizaliwa kwenye hii family. Nimesharudi dar baada ya kutimiza kile kilichonipeleka home licha ya aibu yote nimejenga nyumbani nzuri tu na nimepewa heshima yake. Mi ni mhuni mwenye akili ya maisha. Yote ya yote faza kafarijika kuona nimefikia hatua nzuri kimaisha ingawa kichwani elimu sifuri maana kuna washikaji wa rika langu bado wanaishi na kula makwao ilhali Mimi nina mji wangu dar watu wananipa kodi ya pango. Namwamini mungu wangu ila hiyo life style yangu.

1 NYAKATI. 28:9
Nawe, Sulemani mwanangu, mjue Mungu wa baba yako, ukamtumikie kwa moyo mkamilifu, na kwa nia ya kumkubali; kwa kuwa BWANA hutafuta-tafuta mioyo yote, na kuyatambua mawazo yote ya fikira; ukimtafuta, ataonekana nawe; ukimwacha, atakutupa milele.

MITHALI. 22:6
Mlee mtoto katika njia impasayo, Naye hataiacha, hata atakapokuwa mzee.

EZEKIELI. 33:1-.......
Neno la BWANA likanijia, kusema, Mwanadamu, sema na wana wa watu wako, uwaambie, Hapo nitakapoleta upanga juu ya nchi, watu wa nchi hiyo wakimtwaa mtu mmoja miongoni mwao, na kumweka awe mlinzi wao; ikiwa, aonapo upanga unakuja juu ya nchi hiyo, apiga tarumbeta na kuwaonya watu; basi mtu awaye yote aisikiaye sauti ya tarumbeta, wala haonywi, upanga ukija na kumwondoa, damu yake itakuwa juu ya kichwa chake mwenyewe.

Aliisikia sauti ya tarumbeta, wala hakuonywa; damu yake itakuwa juu yake; lakini kama angalionywa, angalijiokoa roho yake.

Bali mlinzi akiona upanga unakuja, kama hapigi tarumbeta, wala watu hawakuonywa, na upanga ukaja ukamwondoa mtu awaye yote miongoni mwao; ameondolewa huyo katika uovu wake, lakini damu yake nitaitaka mkononi mwa mlinzi huyo.

Basi wewe, mwanadamu, nimekuweka kuwa mlinzi kwa nyumba ya Israeli; basi ulisikie neno hili kinywani mwangu, ukawape maonyo yangu. Nimwambiapo mtu mbaya, Ewe mtu mbaya, hakika utakufa, nawe husemi neno la kumwonya mtu huyo, aiache njia yake, mtu mbaya huyo atakufa katika uovu wake, lakini damu yake nitaitaka mkononi mwako.
Walakini ukimwonya mtu mbaya kwa sababu ya njia yake, kusudi aiache; wala yeye asiiache; atakufa huyo katika uovu wake, lakini wewe umejiokoa roho yako.

MZAZI KAMALIZA KAZI YAKE, IMEBAKI KWAKO
 
Mimi ni mtoto wa tatu katika familia ya watoto 6, baada ya Dada na braza me nilifuatia. Faza etu ni pastor wa kanisa Fulani la kilokole na ni mcha mungu katika kweli kabisa ya mungu in short familia nzima ni ya kilokole ya kiimani sana. Katika kulelewa kwetu tumekuzwa katika misingi ya kiimani, kama kawaida ya familia za kilokole zilivyo

Nikiwa std 5 ghafla nilijikuta naichukia mienendo na misingi ya kidini. Ikawa nafosiwa na nguvu ya familia kwenda kanisani, kuabudu na kuhudhuria maombi mbalimbali kwa masimango na kelele za kutosha ingawa moyoni nilkuwa sitaki kabisa. Kila kitu nikawa napingana nacho hapo maskani nikajichukia kwanini nilizaliwa kwenye hii familia. Ulkuwa ni utumwa kwangu niliona kama nipo gerezani. Faza alitumia nguvu kubwa kunirejesha kwenye msingi nisipotee ila wapi. Alijua pengine makundi yananipotosha ila sikuwa hata na rafiki

Nilipoanza kidato cha kwanza niliamini ndo utakuwa mwisho wa shida zote maana ningekua mbali na familia.Faza alizingua nisipelekwe boding kuhofia ningepotea jumla maana dalili zote za kupotea zilishaonekana.basi nikanunuliwa bike ya go and return home hapo ndo wazee waliona sahihi ili wawe karibu na Mimi.nikawachukia wazee wangu Nikaichukia shule na mwisho mwa mwaka wa kwanza nikafanya michakato ya kutoroka ikatiki nikaacha shule nikatambaa home bila kuaga. Niliandika ujumbe mfupi kwa faza kumuaga nikauweka kwenye bible yake niliamini atauona maana ndo kitabu anachokisoma mda wote. Hapo nilkuwa na umri wa miaka 13 tu. Nikatimkia majiji ya watu na kuanza maisha yangu nikiwa huru kabisa

Ilipita miaka 13 bila ya kuwa na mawasiliano na ndugu yeyote. Nishakuwa mtu mzima sasa nimepambana sana kweli nimepitia mengi nimehaso vya kutosha na nimefikia Levo nzuri tu kimaisha. Mapema mwaka huu February nikaamua niende home kwa wazee wangu, nimewakumbuka sana ila kikubwa zaidi kwenda kujenga kajumba ka kufikia. Nilpokelewa home fresh ingawa nilkuta familia imehamia kijiji kingine kwa ajili ya shughuli zake faza za kihubiri maana ni pastor mkubwa tu. Familia ilifrahi kuniona baada ya muongo mzima maana walkuwa wakiniombea miaka yote niwe salama na kweli maombi yalijibiwa.

Raundi hii nilkuwa rafu zaidi kichwani nina dredi mwili mzima umejaa tattoo nilkuwa sifananii na yeyote katika familia hiyo sio kaka wala sista ingawa wana familia zao.madogo kuniita kaka hawawezi naonekana mhuni sana. ilkuwa ni aibu kubwa kwa familia ya pastor kuwa na kijana wa dizaini yangu. Hiyo ndo life style yangu ninavyoishi. Kibaya zaidi kwao napiga dumu ( bangi) faza alinikuta siku moja nikiwa nanyonya moto kuweka akili sawa. Faza alinihusia niachane na mambo ya kidunia niishi katika kweli ya mungu nilimjibu siwezi kuacha hayo maswala ndo maisha yangu na ndo sababu ya Mimi kwenda kuishi mbali nao kuepusha kero. Mzee analia sana akifa atamjibu nini mungu wake juu yangu je shetani amepata ushindi kwenye hii vita? Kila mtu na moyo wake aniachie msalaba wangu nilmjibu hivo

Sifanani siendani wala sichangamani na yeyote katika familia hii ya kilokole najuta kwanini nilizaliwa kwenye hii family. Nimesharudi dar baada ya kutimiza kile kilichonipeleka home licha ya aibu yote nimejenga nyumbani nzuri tu na nimepewa heshima yake. Mi ni mhuni mwenye akili ya maisha. Yote ya yote faza kafarijika kuona nimefikia hatua nzuri kimaisha ingawa kichwani elimu sifuri maana kuna washikaji wa rika langu bado wanaishi na kula makwao ilhali Mimi nina mji wangu dar watu wananipa kodi ya pango. Namwamini mungu wangu ila hiyo life style yangu.
KUZALIWA FAMILIA YA KILOKOLE HAKUKUFANYIKUWA MLOKOLE.

YESU ANASEMA "AAMINIYE NA KUBATIZWA ATAOKOKA" wokovu unakuja kwa kusikia, na kussikia neno la Mungu.
 
Ishi utakavyo ila kila uamuzi una matokeo yake.
Fahamu hakuna binadamu ambaye anaweza akajitenga na kushi yeye kama yeye, ipo sku kwa namna moja au nyingine utawahitaji hao unaofikiria unawakomoa.
Simkomoi mtu I'm just living my life vile nataka
 
Back
Top Bottom