Najuta kuzaliwa kwenye familia ya kilokole

Najuta kuzaliwa kwenye familia ya kilokole

Usiofu mdau sahivi nataka nizidishe na zile Kali ombi lako litimie....mapema sitakuangusha kwa hilo . Ila mkuu unaonekana unaogopa kufa
aah wapi huyo pombe zishakuwa kweny system mda si mrefu zitamuua ngoja nusubirie kipind katoweka humu mazima [emoji16] niombe mods waandike r. I. p kweny profile yake najua atakuwa ameenda
 
Bora umekuwa open na muwazi kwa Mungu wako kuliko kuwa mnafiki kwa Mungu wako.Wazungu hawaendi makanisani ila MUNGU anawabariki kuliko sisi tunaoshinda kanisani kwa Mwamposa.
 
aah wapi huyo pombe zishakuwa kweny system mda si mrefu zitamuua ngoja nusubirie kipind katoweka humu mazima [emoji16] niombe mods waandike r. I. p kweny profile yake najua atakuwa ameenda
Neema ya Mungu ipo kwa ajili ya watu Kama Hawa.
Watu kama Hawa ndio Mungu ana shida nao..
Ni yeye kuchukua hatua..uamuzi uko juu yake ,kuchagua uzima au Moto.

Bado sijaongea nae...naona ananikwepa
MLEVi Mmoja hakuna namna unaweza kuikwepa nguvu ya Mungu.
 
Siku zote Giza halijawahi kuishinda Nuru. Pole kijana, asante kwa kuamua kuweka wazi matatizo uliyonayo, Mungu anakupenda ipo siku ukweli utaujua
 
Simkomoi mtu I'm just living my life vile nataka

Ndio aina ya mawazo niliyokua nayo kipindi cha miaka ya 20s, 30s lakini sasa nipo kwenye 40s, nikiangalia nyuma naona ulikua ujinga sana.
Binadamu sisi ni 'pack animals' katafute sehemu maana yake nini, kwamba hakuna binadamu mwenye uwezo wa kujitenga na kuishi atakavyo, tunakwenda kwenye makundi makundi ya kifamilia na ndugu.

Jiulize leo, (samahani siombei hili) ukija kupata ajali na kuachwa mlemavu kiasi cha kutoweza kufanya chochote ikiwemo kujinyea, nani atakayekuosha hayo mavi, kuosha udenda unaokudondoka kama zezeta, nani atakuvumilia, waza kwenye wote waliokuzunguka, akina nani wenye uwezo huo wa kuvumilia hayo yote na waendelee kukupenda, ukiwezo kuwapata watano, basi hao ndio watu wako, ndio kundi lako kwenye hili pori la wanyama.
 
Thread ya kijinga kwaio uliacha shule sababu ulikua hutaki kuishi kwenye mfumo uliolelewa tangu awali? Nilijua labda ulivyokua kiakili ulikuja kugundua labda mienendo yao haikua sahihi kumbe ni ujinga mtupu..
 
Faza una umri gani kwanza? Nahofia kukujibu vibaya kuepuka laana
 
Mungu ni mkubwa na si ajabu atakutumia wewe kuionyesha dunia utukufu wake. Wewe ndiye utakae rithi uchungaji wa Baba yako.
 
Inasikitisha kwenye huu uzi watu wanaandika kimalkia.. je hamsadiki ya kuwa 'faza' kaishia form one! pengine mwalim wake alikuwa slow, alikuwa hajafika hata kwenye density, aliishia kuchora picha ya animal cell na plant cell.. na hata "mabala the farmer" wala "hawa the bus driver" hakusoma!!
 
inasikitisha kwenye huu uzi watu wanaandika kimalkia.. je hamsadiki ya kuwa 'faza' kaishia form one! pengine mwalim wake alikuwa slow, alikuwa hajafika hata kwenye density, aliishia kuchora picha ya animal cell na plant cell.. na hata "mabala the farmer" wala "hawa the bus driver" hakusoma!!
Uko sahihi! But wapo vijana wanaojiita degree holders na wananiita boss and I pay them monthly
 
[emoji3][emoji3][emoji3]jaribu linaanzia nyumbani
Kama baba ako kashindwa kukurudisha kundini basi jaribu lake kalishindwa.
Mambo ya imani ni big picture sana
Hongera mkuu kwa kukumbuka wazee wako Mungu akubariki kwakweli

Yote kwa yote
Mathayo 5:8 "Heri wenye moyo safi maana hao watamwona Mungu."
Mambo mengine mbwembwe
 
NakubAl nakubali
 
Usiniwakie faza! Kwanini kilichokuuma ni nini hapo? Kuacha shule au kutofuata maswala ya kiimani? Alafu wewe utakua mla dumu mwenzangu bila shaka
Thread ya kijinga kwaio uliacha shule sababu ulikua hutaki kuishi kwenye mfumo uliolelewa tangu awali? Nilijua labda ulivyokua kiakili ulikuja kugundua labda mienendo yao haikua sahihi kumbe ni ujinga mtupu..
 
Madame asante kwa kunukuu maandiko kutoka kwenye biblia ila ingefaa zaidi kama ungetambua kuwa mimi sio mpinga kristu pia sipo interested na maswala ya dini hali kadhalika mimi sio mtenda maovu
Sauli alikuwa mpinga Kristu mkubwa matokeo yake ni Mtume Poul aliyeuweneza ukristu duniani.
 
Back
Top Bottom