Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We lofa kwanza mm sio mdini ila ninachoamini mungu adhihakiwi..wala haitaji mtetezi..hapa simpigi mkwara mtu nampa facts hata ww ukijifanya huamini mungu ila kimoyo unaamini...huyu dogo na ww bange zinawasumbua na hamjakua kuona maisha nyambafu zenu..Acha mikwara kuna watu kibao hawaamini hata huyo mungu wako kama yupo na wanaishi vizuri tu, hapo ndo mnapokosea wafia dini badala ya kumwelewesha mtu mnampa vitisho kama mungu wenu anavyofanya .
Simkomoi mtu I'm just living my life vile nataka
Itakua tangawazi ya MotoChai
Wapi kakwambia anamdhihaki mungu?na wanaoumwa ,kupata matatizo wenye dhiki na wanaokufa je hao wote wamemkataa mungu na kumdhihaki?huwa mnatumia nini kufikiri wafia dini?we
we lofa kwanza mm sio mdini ila ninachoamini mungu adhihakiwi..wala haitaji mtetezi..hapa simpigi mkwara mtu nampa facts hata ww ukijifanya huamini mungu ila kimoyo unaamini...huyu dogo na ww bange zinawasumbua na hamjakua kuona maisha nyambafu zenu..
Faza umenielewa sana ila unatamani ningeeleza deeply zaidi! Hakika amini wenye tuko na elimu ndogo tuna uwezo mkubwa wa kujenga hoja na kwa ushawishi mkubwa kuliko wasomi!Hii ni chai tu ya kijana aliyekua ameokoka Lakini sasa hivi dunia imemchanganya na shetani amefauru kumteka.
Uandishi wako una logical flow kitu ambacho ni nadra sana kukipata Kama umeishia kidato cha pili.
Pili umefeli kuprove the bad thing against your family.
Nini hasa ukipendi ?
Kusoma Biblia?
Kuzuiwa kuwa na bad company?
Kuzuiwa kuvuta bangi na kupenda totoz ukiwa bado hujajijenga kimaisha?
Kuzuiwa kwenda disco?
Kuambiwa tufunge kwa ajili ya kuuweza mwili na tamaa zake?
Sio mkamilifu sana kwenye dhana ya dini ila ukweli ni kuwa dini ni salama sana kuliko uendawazimu wa maisha ya anasa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hizo bangi huwa unanunua wapi?, nielekeze kijiwe chako!
Unachukia ulokole ila unaamini ni maombi ya wazazi ndio yaliyokulinda kwa miaka yote 13!!!!! WEWE kweli uliishia form one.
Hapo kwenye kuhuzunisha huoni kuwa unahuzunisha wazazi wako kisa life style yako?Faza hujaelewa Mimi sio mtenda maovu naishi kwa protokali zangu sina choyo na mtu wala Mimi sio sababu ya mtu kuhuzunika kisa mimi