Myahudi Jr II
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 6,816
- 8,809
Una swaga za marasi, sema unakula nyama
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Si lazima ufate kila unachoambiwa na mzazi. Ili mradi hujawakosea heshima haina tatizo.hataki kusikiliza maonyo ya wazazi juu ya kuacha mwenendo wa kidunia
Mimi ni mtoto wa tatu katika familia ya watoto 6, baada ya Dada na braza me nilifuatia. Faza etu ni pastor wa kanisa Fulani la kilokole na ni mcha
Kiukweli kuna mambo mengine yanaweza kukufanya ukajuta kuzaliwa kwenye jamii flani
Kiuoande wangu najuta kuolewa na mlokole yaan yule aliyeshika imani mpaka kero,yeye ni mtu wa kuwaza miujiza tu kasi hataki kufanya,kila mtu mbele yake ni mchawi,kila kitu mbele yake kiovu akipatwa na matatizo haohao anaowaona wachawi ndio anaowaomba msaada ila wao wakiwa na ishu zao wakitaka mchango kutoka kwao oh mimi siwez kuwapa mchango watu wanaompa utukufu shetani ukiumwa wewe eti nenda kaombe toba umemtendea Mungu dhambi akiumwa yeye balaa tupu yaani ni kero kwa kweli kufikiria future hakuna ila miujiza imemkaa kichwan umri wake na kile anachokifikiria ni vitu viwili tofauti
Acha mikwara kuna watu kibao hawaamini hata huyo mungu wako kama yupo na wanaishi vizuri tu, hapo ndo mnapokosea wafia dini badala ya kumwelewesha mtu mnampa vitisho kama mungu wenu anavyofanya .uniite tito uniite toti ndo nakuambia kijana..mm kama ndumu nishatumiaga sana kitu cha arusha kabisa ila sijawahi leta mzaha na mambo ya Mungu na kiimani, uliza walioleta kejeli kama zako waliishia wapi!? na ww njia nyeupe hiyo..it is just a matter of time hicho kiburi cha uzima kikitiwa kashkash utamtafuta mpaka mlokole wa tone la mwisho akuombee rehema na usimpate
Piga chini huyoKiukweli kuna mambo mengine yanaweza kukufanya ukajuta kuzaliwa kwenye jamii flani
Kiuoande wangu najuta kuolewa na mlokole yaan yule aliyeshika imani mpaka kero,yeye ni mtu wa kuwaza miujiza tu kasi hataki kufanya,kila mtu mbele yake ni mchawi,kila kitu mbele yake kiovu akipatwa na matatizo haohao anaowaona wachawi ndio anaowaomba msaada ila wao wakiwa na ishu zao wakitaka mchango kutoka kwao oh mimi siwez kuwapa mchango watu wanaompa utukufu shetani ukiumwa wewe eti nenda kaombe toba umemtendea Mungu dhambi akiumwa yeye balaa tupu yaani ni kero kwa kweli kufikiria future hakuna ila miujiza imemkaa kichwan umri wake na kile anachokifikiria ni vitu viwili tofauti
Sawa..Huu wito unatoka kwa Mungu. .na utakurudisha tu toka huko ulipo.
Japo naona unaamua kuukwepa. . ila hakuna namna unaweza kukwepa.
Sawa..Huu wito unatoka kwa Mungu. .na utakurudisha tu toka huko ulipo.
Japo naona unaamua kuukwepa. . ila hakuna namna unaweza kukwepa.
Hahahaha... bado anayo nafasi ya kubadilikaacha likufe tu lipotee jf siku ziende tangulini walevi concentrated wakabadilika
Hahahaha... bado anayo nafasi ya kubadilika